Rais mstaafu wa DR Congo, Joseph Kabila apokonywa walinzi

Kati ya watu waliopiga hesabu zao vizuri ni tshekedi kiukweli uwepo wa kabila katika serikali yake na vibaraka wake lilikuwa ni tatzo sana kwake, labda wakongoman wamsaliti maana nao ni masnich sana, ila congo inahitaji mabadiliko makubwa sana kwenye mifumo yake pia tshekedi inatakiwa awe makini sana maana kwa sasa ana maadui wengi ndani na nje ya serikali yake
 
Hii ndio Afrika!

Hapo utasikia Kabila kakimbilia msituni anaunda kundi lake na anapata kuungwa mkono na watu anampindua Tchisekedi
Umewaza kwa kina sana muda utasema kwakweli. Ukisikia tu kaja nchi za karibu na Congo basi VITA imeanza.
 
Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni...jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi...then machafuko yataanza upyaaa
Hawezi kufanya ujinga huo huku akijuwa nchi za SADCC wanajua vizuri undani na ajenda za siri za Kabira kuhusu Congo DRC - wanajua ni nani mfadhiri mkubwa wa machafuko nchini Kongo akiwa na lengo la kupora jimbo la KIVU - mzizi wa fitina hupo pale - majeshi ya SADCC yasikubali ujinga huu kutokea - Mgabe,Zuma na Angola ndio walielewa vizuri njama hizo - sina shaka warithi wao watazima ujinga huo kirahisi sana.
 
Sasa kwanini wasimshughulikie huyo Msumbufu?
 
Hili ni kosa lingine la ki ufundi katika uwanda wa kijasusi. Alipaswa kuwatumia walinzi ili kupata baadhi ya taarifa muhimh kutoka kwa Kabila. Any ways ngoja tuone huu mchezo utachezwaje
 
Kabila si ameshastaafu , anataka awe nani tena?
Kama ana ushauri atoe lakini si kutaka afanye maamuzi.
Ana bahati amestaafu urais akiwa kijana,, atakula sana maisha akitulia.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kabila katoka madarakani bila kupenda....baada ya kuona mambo yanaanza kwenda kombo akamchomeka Felix...sasa kwa mazingira hayo Felix hawezi kuendesga serekali
 
Back
Top Bottom