Rais mstaafu tumain iringa kukumbwa na tuhuma ya rushwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais mstaafu tumain iringa kukumbwa na tuhuma ya rushwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ECOPC, Jul 27, 2011.

 1. E

  ECOPC New Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndugu zanguni wanafunzi vyuo vikuu,nasikitishwa na vijana wajiingizao kwenye wizi wa pesa za wanafunzi.Ndugu yetu KANYORO JUMA AMBAE NI MWENYEKIT WA SENET TAHLISO NDIE ALICHARAZWA FIMBO NA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU TUMAIN KWA KUTUMIA PESA ZA OFFIC KWA MANUFAA YAKE BINAFSI NDIPO WANAFUNZI WAKAKASIRIKA NA KUMSHIKISHA ADABU,THEN VIONGOZI WEHU WA TAHILISO KUKUBALI KUONGOZWA NA FISADI LA TUMAIN.JE HAWA VIONGOZI WA VYUO VIKUUU LEO NI WAUNGWANA AU NAO PIA NI MAFISADI??????????????????????????????????????????/NAPENDA TUKUMBUKE PIA KIPARA AMBAE NDIE MWENEKIT WA TAHLISO ALICHAGULIWA KWA RUSHWA DODOMA BAADA YA WANASIASA MAFISADI KUMDHAMINI PESA ZA KAMPEN ILI ASHINDE KWA MAUFAAA Y AWEZI WA NCHI WAKIHOFIA KUFUMBULIWA NA CHOMBO CHA WANAFUNZI ENDAAPO KITAKUA NA VIONGOZI WA WATU.NDUGU ZANGUNI LEO TUMESHUHUDIA BAADHI YA VIONGOZI SERIKALI ZA WANAFUNZI KUMALIZA MUDA WAO WA KUONGOZA WAKIMILIKI MAGARI JE KUNAKIBARUA GANI CHA KUWALIPA HADI KUMILIKI MAGARI HUKU TUKIJUA HAWANA VIPATO NA HAWAKUA NA MAGARI KABLA??????????NINGEPENDA KUTANGAZA VITA KWA VIJANA ILI TUKAUNGANE NA KUITETEA NCHI YETU NANI AJUAE KWAMBA HAWA NI MAFISADI WANAANDALIWA WAJE KUIBA KESHO?
   
Loading...