Hongera sana kwa kuonyesha hisia zako toka ndani ya moyo wako.Sishangai Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa kusema hivi kwa nilijua tu kuwa ni lazima kwa ‘ Genius ‘ kama Yeye basi asingeweza kuacha Kuona na Kusifia mambo mazuri na makubwa hasa ya Kimaendeleo ambayo yanafanywa na Mdogo wake ‘ Kimalezi ‘ alipokuwa Tanzania Rais wa Rwanda Shujaa, Mwamba na Jemedari Mheshimiwa Paul Kagame.
Na pia sishangai tena leo hii Kumuona ‘ Genius ‘ mwingine nchini Tanzania Rais Kipenzi change Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli nae akiendeleza Mahusiano mema na nchi ya Rwanda hasa kupitia Rais wake Kagame kwani ni ukweli usiopingika kabisa kwamba ukitaka Kufanikiwa haraka kama si upesi Kimaendeleo, Kijeshi, Kimbinu, Kiakili na Kimkakati basi kuwa karibu sana na Wanyarwanda hasa wa Kabila zuri, bora na lililobarikiwa kabisa la Tutsi.
Vile vile nampongeza mno na sana Rais wa Kwanza wa Tanzania Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Yeye kuweza kuwaelewa vyema Wanyarawanda ( hasa Watutsi ) Kuwalea vyema na Kuwajenga zaidi Kisiasa na Kiharakati kiasi cha Kuwafanya Wanyarwanda wote tujione ni sehemu ya Tanzania na tumeifanyia mengi sana Tanzania japo leo hii kuna ‘ Wapuuzi ‘ wachache ama hawalijui au hawalioni hili.
Na ndiyo maana Siku zote Mimi GENTAMYCINE huwa nasema kuwa hakuna Marais ninaowapenda Tanzania kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Rais Mstaafu Mkapa na Rais wa sasa Mheshimiwa Dkt. Magufuli na kwa mbali sana Mzee Mwinyi ila kuna mwingine alitaka ‘ Kuharibu ‘ kabisa huu Uhusiano mwema wa Rwanda na Tanzania.
Nilifurahi sana nilipomuona Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin Mkapa alipokuwa ‘ akiwasilisha ‘ mawazo yake kama ‘ Genius ‘ kutoka Mtwara nchini Tanzania katika Kongamano ‘ Maalum ‘ la Kuijadili Afrika na Maendeleo yake lililofanyika Jijini Kigali nchini Rwanda ambapo Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mzee Thabo Mbeki alipomaliza tu Kuzungumza akampa Kipaza Sauti Mzee Mkapa ambaye sit u kwamba aliimwagia Sifa nchi ya Rwanda bali aliimiminia ‘ Kongole ‘ kabisa kuwa ndiyo pekee barani Afrika yenye Sera nzuri ya Elimu na Afya huku Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paula Kagame akifurahi na Mzee Mkapa akipigiwa Makofi na Wageni wengi waalikwa waliokuwepo pale Ukumbini ambao nao pia walikiri kuwa Rwanda inaziacha nchi nyingi kwa Maendeleo na karibia Wageni wengi wakiupongeza Utawala na Uongozi wa Rais Kagame.
Akhsante sana Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa kwa Kusema ukweli wako huu juu ya Taifa bora na ‘ lililobarikiwa ‘ kabisa la Rwanda. Pia nakuomba mno Rais wa sasa wa Tanzania Kipenzi changu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa endelea Kushirikiana na Rwanda, usiwasikilize ‘ Wapuuzi ‘ na wenye ‘ Chuki ‘ za ‘ Kipumbavu ‘ dhdi ya Rwanda na Rais wake kwani hata Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere nae pia alikuwa akiwapenda na kushirikiana nao Wanyarwanda hasa katika mambo mazuri, ya Kimaendeleo na yenye Kutumia mno Akili / Fikra nyingi na alisema Taifa hili la Rwanda lipewe Heshima yake kwani ndiyo linaenda kuwa ‘ Israeli ‘ ya Afrika na kweli ‘ Utabiri ‘ wake huo sasa umetimia.
Nawasilisha.
Hata hivyo kwa heshima yako ya kuwa humu na kwa vile umejipa jukumu la kutaka kutushirikisha, ulitakiwa angalau utueleze:
a). Alisema kwanini mfumo wao wa Elimu ni bora Afrika? Wana nini cha ziada kwa majibu wa Benjamin Mkapa.
b). Mfumo wa huduma zao za afya kwanini ni bora kuliko nchi nyingine yoyote Afrika? Wana nini cha ziada kwa mujibu wa Benjamin Mkapa