Markberry1555
Senior Member
- Jan 6, 2019
- 147
- 162
Wajuvi wa mambo, ilikuaje hapa maana historia ya huyu Mzee hatuijuagi vizuri.
Mtusimulie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtusimulie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia alikuwa mchimba mchanga lakini leo ni mkuu wa mkoaMakonda
Sahihi ni kuwa ''usimnyanyase aliye chini yako kwani binadamu wote ni sawa na ni siyo utu kunyanyasa wengine''. Ukitumia ''busara'' yake aliyetoa hapo maana yake anatuambia tuache kunyanyasa walio chini kwa kuwa tu kesho wanaweza kuwa juu yetu! i.e. tuongozwe na woga badala ya utu! Je, kama tuna uhakika hawatakuja kuwa juu yetu tusiwanyanyase?Wajuvi wa mambo ... Ilikuaje hapa maana historia ya huyu mzee hatuijuagi vizuri. Mtusimulie View attachment 1326757
Sent using Jamii Forums mobile app
"Je, kama tuna uhakika hawatakuja kuwa juu yetu tusiwanyanyase"?Sahihi ni kuwa ''usimnyanyase aliye chini yako kwani binadamu wote ni sawa na ni siyo utu kunyanyasa wengine''. Ukitumia ''busara'' yake aliyetoa hapo maana yake anatuambia tuache kunyanyasa walio chini kwa kuwa tu kesho wanaweza kuwa juu yetu! i.e. tuongozwe na woga badala ya utu! Je, kama tuna uhakika hawatakuja kuwa juu yetu tusiwanyanyase?
AiseMsekwa alikuwa RC Tabora au Singida ,enzi za chama kimoja RC anakuwa Katibu wa CCM wa mkoa ,Kikwete yeye alikuwa Katibu msaidizi wa CCM mkoa, Kwahiyo Msekwa alikuwa boss baadaye JK alimteua Msekwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM mwenyekiti akiwa JK.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mpaka hapo alipo ukiambiwa ufuate nyayo hakika huwezi!Nasikia alikuwa mchimba mchanga lakini leo ni mkuu wa mkoa
mzee kikwete wacha ale bata na anajua watanzania tunampenda sana mtu asiye na makuu
ukumbuke tulichotaka sisi watanzania siyo kuvunja sheria ni kufuata sheria ili haki itendeke na ndo kilio chetu watanzaniaWanafiki ni wabaya kuliko wachawi, walimdhihaki sana huyu mtu wakimtaja mtu dhaifu wa kuchekacheka na msafirisafiri sana leo wamepata walichomwomba Mungu wanajifanya kugeuka, bado miaka 6, tumemaliza 4 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa kondakta wa mabasi ya mabina aliyeuwawa kwa mawe na wananchi. Manasi ya kwenda vijijini nafikiri ni yale yaliyochokaNasikia alikuwa mchimba mchanga lakini leo ni mkuu wa mkoa