Rais Mstaafu Kikwete: Nilikuwa Personal Assistant wa Pius Msekwa

Markberry1555

Senior Member
Jan 6, 2019
147
162
Wajuvi wa mambo, ilikuaje hapa maana historia ya huyu Mzee hatuijuagi vizuri.

Mtusimulie.

1a7d22e64e8e4b59969ec3545499f017.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Kikwete wacha ale bata na anajua watanzania tunampenda sana mtu asiye na makuu
 
Wajuvi wa mambo ... Ilikuaje hapa maana historia ya huyu mzee hatuijuagi vizuri. Mtusimulie View attachment 1326757

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi ni kuwa ''usimnyanyase aliye chini yako kwani binadamu wote ni sawa na ni siyo utu kunyanyasa wengine''. Ukitumia ''busara'' yake aliyetoa hapo maana yake anatuambia tuache kunyanyasa walio chini kwa kuwa tu kesho wanaweza kuwa juu yetu! i.e. tuongozwe na woga badala ya utu! Je, kama tuna uhakika hawatakuja kuwa juu yetu tusiwanyanyase?
 
"Je, kama tuna uhakika hawatakuja kuwa juu yetu tusiwanyanyase"?

Utakuwaje na uhakika mkuu macho_mdiliko? Maanake kitendawili kipo hapo penye 'kuwa na uhakika.'!

Inawezekana kuwa na uhakika?
 
Msekwa alikuwa RC Tabora au Singida ,enzi za chama kimoja RC anakuwa Katibu wa CCM wa mkoa ,Kikwete yeye alikuwa Katibu msaidizi wa CCM mkoa, Kwahiyo Msekwa alikuwa boss baadaye JK alimteua Msekwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM mwenyekiti akiwa JK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafiki ni wabaya kuliko wachawi, walimdhihaki sana huyu mtu wakimtaja mtu dhaifu wa kuchekacheka na msafirisafiri sana leo wamepata walichomwomba Mungu wanajifanya kugeuka, bado miaka 6, tumemaliza 4 tu
mzee kikwete wacha ale bata na anajua watanzania tunampenda sana mtu asiye na makuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafiki ni wabaya kuliko wachawi, walimdhihaki sana huyu mtu wakimtaja mtu dhaifu wa kuchekacheka na msafirisafiri sana leo wamepata walichomwomba Mungu wanajifanya kugeuka, bado miaka 6, tumemaliza 4 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
ukumbuke tulichotaka sisi watanzania siyo kuvunja sheria ni kufuata sheria ili haki itendeke na ndo kilio chetu watanzania
 
Kweli maisha ni mzunguko. Hata Mbowe alikuwa bosi wa Waitara Chadema. Leo Waitara ni bosi wa Mbowe Serikalini.
 
Back
Top Bottom