Rais Mstaafu, Kikwete kumwakilisha Rais Magufuli katika sherehe za kuapishwa Rais wa Zimbabwe

rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
3,044
3,814
IMG_20180825_112049.jpg
 
Cheyo ndani. Safi sana huyo mzee ni mkomavu wa siasa. Sio hao wengine kelele na tamaa ya madaraka wakati hawayawezi. Lini Magufuli atatoka nje ya nchi jamani? What a president!!!
Akifanya safari hata mbili tatu mtaanza kusema mzururaji anafuja fedha za wananchi ! Binadamu siku zote haturidhiki, ikija mvua twalalamika, likija jua twa lalama ilimradi tu...Tumpe nafasi mheshimiwa rais, kuna mengi sana ya kunyoosha ndani ya nchi. Tutaja elewa baadae.
 
Jiwe lugha issue. Wenye akili wote wanajua. Si Kiingereza tu hata Kiswahili. Ana 'firsts' nyingi. Moja ni rais wa kwanza tz asiyeenda ulaya na Marekani. This is not necessarily a good sign.🤔 🤗
Mheshimiwa rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alienda sana nje wakati wa utawala wake, watu walisemaje ? MTALII...Huyu haendi nje sijajua kapewa jina gani...
 
Back
Top Bottom