Rais Mstaafu Kikwete, jana ilikuwa siku ya maziko ya kitaifa ya shujaa wetu na siyo siku yako ya kujitetea

Mbona Kikwete hajafanya kosa lolote ndugu yangu? Kaeleza alivyomlea Hayati mpaka akawa Rais. Hukutaka tufahamu? Kama Kikwete kasema wongo kuna watu lukuki watakaomkosoa ambao wako hai ndani ya CCM. Hajamsema Hayati vibaya kiasi cha wewe kusema angemsema akiwa hai ili ajitetee. Are you sure huna lako rohoni?
Wasukuma bwana kazi yao kujimwambafai,anaona kama Kikwete hakufanya kazi yoyote kwa vile siyo Msukuma,sasa ukabila basi anayetaka kuendekeza ukabila amfuate hayati kaburini.
 
MZEE WA MSOGA

JANA ILIKUWA SIKU YA MAZIKO YA KITAIFA YA SHUJAA WETU NA SIYO SIKU YAKO YA KUJITETEA!

Naamini Haikuwa siku muafaka kwako ukiwa Rais Mstaafu kunena uliyonena ukizingatia ilikuwa siku rasmi ya kitaifa kwa maziko ya mpendwa wetu.

Ingalikuwa ni vema zaidi hayo uliyonena ungaliyanena alipokuwa hai ili nayeye apate wasaa wa kuthibitisha uliyonena.

Umetumia nguvu kubwa kutaka kuthibitisha kuwa ulimpenda sana Hayati Magufuli na wala hukumchukia hata kidogo.

Mpendwa na Shujaa wetu ameshalala usingizi wa umauti hivyo kamwe hawezi thibitisha hayo uliyonena.

Mtu mwingine aweza jiuliza kwanini usemwe wewe tu na siyo viongozi wengine wastaafu akiwamo Mzee Ally Mwinyi au Hayati Benjamin Mkapa?

Nina uhakika hayati Rais Magufuli alikupenda na kukuthamini na ushahidi ni pale aliposema Wastaafu waachwe wapumzike kwani wamefanya kazi kubwa walipokuwa Madarakani.

Ushahidi mwingine ni uteuzi wa mkeo Mama Salma kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kijana wako Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge.

Siwezi kusema ulikuwa so desperate kujisafisha mbele ya Watanzania ukijua kuwa Mhesh Magufuli hayupo hai na wala sina uhakika kama ulimpenda au kumchukia ila hoja ni kuwa the timing was not proper.

Mzee wa Msoga pole sana kwa tuhuma dhidi yako ila bahati mbaya sana shahidi Nambari moja wa kuamua kesi hatunaye naye.

Nakushauri upumzike ukilea wajukuu na umuache Mama Samia atuongoze Watanzania.

Buriani Shujaa wetu Dkt John Magufuli.
Hoja yako haijasimama!

Je,hao waganga njaa walisubiri nini kusema hizo tuhuma wanazotoa? Kwanini hawakuzitoa wakati Magufuli akiwa hai.

Mzee wa msoga hakuwa na chaguo jingine isipokuwa pamoja na mambo mengine,kujibu hizo tuhuma!

By the way,mpatie mzee wetu heshima anayostahili badala ya
madharau. Angetaka angejiongezea muda na Magufuli asingetawala! Hivyo tungekosa fursa ya kujua utawala wa Magufuli.
 
Yes,fantastic point witout Kikwete no Magufuri for sure.
 
Nchi hii wapumbavu mpo wengi sanaaaa alichoongea nimaisha yayeye na hayati aliozikwa jana ndiomaana watuhulilia kuweka rekodi iliizungumzwe kama siku yajana siku yamembe atazungumza yamembe nafikiri siku yamsiba wa msanii kanumba pia alizungumza maisha ya kanumba walivyo faamina ulitaka azungumze ya baba yako kwenye msiba wa magu?
 
Back
Top Bottom