Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,233
Huwezi jshindanisha na mie kwenye kitu kibachoitwa tafiti.
Nimekwambia soma posts no 89.
Almost makampuni yote yaliyofunga biashara kipindi cha awamu hii ya tano sababu ni kubambikiwa makodi na TRA na hata Rhino Cement walikuwa na issues za kodi na TRA na pili ni mazingira magumu ya uwekezaji kutokana na instability kwenye sera zenu za uwekezaji
Mkuu ulitaka makampuni yafanye kazi bila kulipa kodi? Hakuna nchi yoyote duniani inayopiga maendeleo au iliyoendelea ambayo makampuni hayalipi kodi.
Wakati wa JK makampuni mengi yalikuwa hayalipi kodi kwa sababu ya vi-memo. JPM hakuna mtindo huo ni kulipa kodi stahiki. Kama mnaona shida kwa nini sheria ya kodi isibadilishwe? Wacheni kulialia kila mtu/makampuni nk ni lazima kodi ilipwe, tuache mambo ya kiholela na uswahili swahili aliokuwa nao JK.