Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amekutana na Kufanya mazungumzo na Viongozi wa Sudan Kusini

Viongozi wa South Sudan na maafisa wao wa jeshi ni wezi wazuri sana wa mabilioni ya umma,mkwerere ni mzoefu wa upigaji na ni balozi mzuri wa kuwashawishi wafiche Tanzania badala ya kenya na Uganda apige 10% yake.
Astaghfirullah! Waswahili wana msemo wao kuwa mnyonge mnyongeni, na haki yake mpeni. Hii siyo kauli njema ya kumtuhumu mzee wetu huyu.
 
Sijiu lini viongozi wa CCM wataanza diplomasia ya ndani ya Tanzania kuleta maridhiano na muafaka wa kitaifa kama wafanyavyo kwa nchi jirani

Lusaka , Zambia

2021 President Kikwete , President hakainde, president Lungu and President Rupiah Banda #shorts

CCM Wanatuona sisi mapopoma... Labda siku tukiamka.
 
Back
Top Bottom