Rais mstaafu Jakaya Kikwete alikuwa na utu na huruma, aliposikia mauaji ya wafanyabiashiara wa madini aliunda tume. Vipi kuhusu kiongozi wetu wa sasa?

Usisahau JK alikuwa ni Kiongozi! Na huyu wa sasa ni Mtawala! Hivyo usitegemee kumuona akifanya mambo mazuri kama yale aliyofanya Mtangulizi wake.
Vilevile pamoja na mazuri yake mnayoyasifia sasa, mlikuwa mnamwita "dhaifu". Nafikiri kwa komenti zenu za sasa anawacheka kwa dharaaaaaaaaaau!!!!!
 
Vilevile pamoja na mazuri yake mnayoyasifia sasa, mlikuwa mnamwita "dhaifu". Nafikiri kwa komenti zenu za sasa anawacheka kwa dharaaaaaaaaaau!!!!!
Kwa miaka yake 10 aliyokaa madarakani, ulishawahi kusikia mahali popote wafanyakazi tukimuita JK Dhaifu? Au Watanzania wote sasa tumegeuzwa kuwa John Mnyika/Chadema?

Mimi naongelea kwenye maslahi na stahiki za wafanyakazi. Huko kwenye suala la udhaifu, sihusiki. Na naamini pia wafanyakazi wenzangu wengi hawahusiki. Kwani huyu anayejifanya ni mtawala shupavu, ana lipi la maana alilo wafanyia wafanyakazi kwa miaka sita sasa? Zaidi tu ya kuwadhulumu haki zao?
 
Kila mtu anajua kilichowakuta waliokuwa wachimbaji wa madini huko Morogoro. Mauti iliwakuta pasipokuwa na hatia.

Sauti zikapazwa kupinga uonevu uliofanyika. Polisi wakasema walikuwa ni majambazi. Jakaya Kikwete akaunda tume. Ukweli ukajulikana na kesi ikaunguruma.

Je, kiongozi wetu wa sasa anaweza kusikia kilio kama alivyofanya Jakaya mpaka haki ikapatikana?
Ajiundie time ya uchunguzi kwa mauaji yaliyonywa na utawala wake.
 
Back
Top Bottom