Rais mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Mchungaji Msigwa

Alifuga mafisadi na majizi serikalini ila life halikuwa hivi.
Kwani huyu wa sasa ndio hafugi majizi,wala rushwa na mafisadi?

Kwa mfano,hii kashifa alioibua Zitto ya Mchuchuma na Liganga nani anatajwa?

Ile ya pass za kielekroniki iliyokuwa ikiandikwa na gazeti la Jamuhuri ilihusu ofisi ya nani?

Anaehuaika na ununuzi wa wanasiasa ni nani?

Nani anawapandisha cheo wanaonunua wanasiasa?

Huu ni ukoo wa panya asikudanganye mtu!
 
Huyu ndiye Alikuwa rais kwa sasa tunajuta
Watanzania ni kama baadhi yenu mna ukichaa tu.alikuwepo huyu mzee mamlakani mlisema hafai kwa madai chungu mzima ambayo leo eti mnayatetea na kumkumbuka.miaka itaenda mzee wa sasa na yeye akitoka mtasema afadhari fulani alikua anajua kusimamia misingi ya haki na utendaji.kwa mfano rahisi ukimtazama hapo Msigwa na ukamkumbuka maeno yake ya awali juu ya huyo mzee hapo unaona kabisa Msigwa wala siyo mtu mwenye utimamu kichwani,ukikumbuka pia maneno waliyoyasema juu ya Lowasa na kilichotokea unapata picha kua hilo hua ni sawa na kundi la kihuni tu linalobahatisha kutafuta madaraka ili likapige pesa.ningekua na uwezo wa kiMUNGU ningemtangaza MAGUFULI kua ni RAIS wa maisha hapa TANZANIA
 
Ndiyo maana huwezi kupata uwezo huo na hutokaa uupate

Ccm ni jumba la sanaa ya ufisadi
Kwani huyu wa sasa ndio hafugi majizi,wala rushwa na mafisadi?

Kwa mfano,hii kashifa alioibua Zitto ya Mchuchuma na Liganga nani anatajwa?

Ile ya pass za kielekroniki iliyokuwa ikiandikwa na gazeti la Jamuhuri ilihusu ofisi ya nani?

Anaehuaika na ununuzi wa wanasiasa ni nani?

Nani anawapandisha cheo wanaonunua wanasiasa?

Huu ni ukoo wa panya asikudanganye mtu!
 
Shupavu nyumbani kwenu
Tena alitukanwa jamani dah, msiba huu tumejitakia. Kikwete alitukana kuanzia bungeni hadi mtaani watu wakamuita dhaifu, leo tumepata shupavu tunalia daadeki
 
chadema mlilimbuka na siasa mkafikia hata kumtukana mzee kikwete mpaka na familia yake
ili muwe na adabu jpm anawanyosha
 
Back
Top Bottom