Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,904
Waje Rukwa tuu hapa maeneo yapo ya kutosha.Mkuu kaongea vizuri kama Mbeya hawana ardhi ya kutosha ekari 500 basi hilo tawi la UDSM litaenda kuanzishwa mikoa mingine kama Rukwa, Katavi na kwingineko kwenye mapori meengii tuu yasiyo na mwenyewe.