Rais mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Mchungaji Msigwa

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kwa wataalam wa kuzisoma picha naomba mtueleze nini mh Msigwa mbunge wa Iringa anamuelekeza nini Rais mstaafu kipenzi cha watanzania mh JKM KIKWETE?
FB_IMG_1544380725394.jpeg
 
Kwa wataalam wa kuzisoma picha naomba mtueleze nini mh Msigwa mbunge wa Iringa anamuelekeza nini Rais mstaafu kipenzi cha watanzania mh JKM KIKWETE?View attachment 962112


Duuh, Leo Jakaya amekuwa 'Kipenzi Cha Watanzania?'

Zitto aliwahi kuandika Siku akafukuzwa Chadema Kuwa uongo hupanda Kwa haraka ghorofani Na hupotea Kwa haraka Pia

Nashukuru Mmawia kumkubali Jabali la Siasa wa Zama zote Hapa nchini Mstahiki Jakaya wa Msoga
 
Back
Top Bottom