Mropokaj wa taifaMi mnanichanganya na viingereza kwa kweli, kwa 'nanii' wetu ni nani?
kusoma hujui hata picha huoni???Picha iko wapi?
Ndugu. Juma Pondamali Mateso hataki usumbufu wa kwenda kuongeleshwa Kiingereza..Kwakweli Juma Pondamali anaitia aibu hii inji