Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,262
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza timu ya Zanzibar heroes kufuatia ushindi wake wa 2-1 dhidi ya Uganda katika michuano ya CECAFA2017 na kufakiwa kutinga fainali ya michuano hiyo.
Kwenye ukurasa wake wa Twitter Rais mstaafu ameandika ;
"Nawapongeza Zanzibar Heroes kwa kututoa kimasomaso na kutinga fainali. Nawatakia kila la kheri katika mechi ya fainali waibuke na kombe na watupe raha ambayo watanzania tumeikosa kwa muda mrefu".