Rais Mstaafu Dk.Jakaya Kikwete aipongeza Zanzibar Heroes kwa kutinga fainali michuano ya CECAFA

Hapo Znz inasimama Kama Znz tusijipendekeze sie Timu yetu ya Tanzania Bara imekojolewa Mechi zote

Kwny Challenge Hakuna Tanzania kuna Znz na Tanganyika
Tatizo mnapenda kuitamka Tanzania bara ndo maana ikafungwa lakini ingeitwa Tanganyika tungetusua mbona Zanzibar hawakujiita Tanzania Visiwani
 
Hivi ushindi wa Zanzibar huko Kenya unatoa taswira gan katika soka la Tanzania

Hongera Zanzibar kwa ushindi wa leo
 
Baba ule mchakato wa vazi la taifa ulioanzishwa enzi zako ndio hivyo tena!


Bei ya grease yapaa!
 
Back
Top Bottom