Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Afungua Akaunti Special kwa Waislam- NBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Afungua Akaunti Special kwa Waislam- NBC

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Unstoppable, Aug 11, 2011.

 1. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
 2. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  unasifia au unaponda?, kuna tatizo au kuna la kujifunza?, mbona naona kama sio habari?
   
 3. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kumbe habari zinazowekwa huku ni zakuponda au kusifia tu? Ni vizuri pia kupeeana taarifa, kwa baadhi inaweza isiwe na manufaa lakini kwa wengine itakuwa na manufaa. Kwa nilivyoelewa kama una-qualify ukikopa pesa itakuwa ni interest free. So hicho ni kitu kizuri kupeana taarifa. However sijui details zaidi so ni vizuri ku-discuss na wengine. By the way kwanini sio habari kwani hii akaunti ilikuwepo toka zamani au ndio imeanza?
   
Loading...