Rais mpya wa TCCIA akutana na mwenyekiti wa CEO round table

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
203
83


Ndibalema Mayanja akukutana na Mwenyekiti wa CEO Round Table Ali Mfuruki ili kukuza mahusiano ya Taasisi hizi nyeti kwa maendeleo ya Biashara, Viwanda na Kilimo. Katika mkutano huo Rais Mayanja aliongozana na Makamu wa Rais wa TCCIA Viwanda Octavian Mshiu, Mkurugenzi Muganda na Mshauri wa TCCIA Imani Kajula.





 
Back
Top Bottom