Rais mpya wa tanzania, rais wa 5, ukombozi umewadia.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais mpya wa tanzania, rais wa 5, ukombozi umewadia....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Not_Yet_Uhuru, Oct 30, 2010.

 1. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Watanzania, Taifa linapata Ukombozi;

  Hii ndio hali Halisi, wataiba kura sana lakini Mkono wa Mungu utawaumbua, na nguzu za giza zitawashinda. Wataanguka na Rais Wetu Mpya atapita katikati yao, na Tanzania itafurahia Ukombozi;
  Afya Bure;
  Elimu Bure;
  Makazi Bora na Huduma safi..
  Uongozi bora, Makini na Uwajibikaji wa hali ya juu...

  NI DR W. P. SLAA....

  MUNGU IBARIKI TANZANIA, TUJALIE BARAKA NA HAKI YETU IKAMILIKE. [​IMG] Attached Thumbnails [​IMG] [​IMG] [​IMG]
   
 2. c

  chanai JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika Mungua amesikia kilio cha Watanzania. Aibu yetu kaisikia. Ukombozi uko pale pale
   
Loading...