Rais mpya wa tanzania, na matumaini mapya ya watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais mpya wa tanzania, na matumaini mapya ya watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Not_Yet_Uhuru, Oct 30, 2010.

 1. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Watanzania, Taifa linapata Ukombozi;

  Hii ndio hali Halisi, wataiba kura sana lakini Mkono wa Mungu utawaumbua, na nguzu za giza zitawashinda. Wataanguka na Rais Wetu Mpya atapita katikati yao, na Tanzania itafurahia Ukombozi;
  Afya Bure;
  Elimu Bure;
  Makazi Bora na Huduma safi..
  Uongozi bora, Makini na Uwajibikaji wa hali ya juu...

  NI DR W. P. SLAA....

  MUNGU IBARIKI TANZANIA, TUJALIE BARAKA NA HAKI YETU IKAMILIKE.
   

  Attached Files:

 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,508
  Trophy Points: 280
  Francis Godwin ni mzee wa matukio daima: 'LIVE'MAHOJIANO YA DK SLAA HIVI SASA REDIO COUNTYR FM(88.5)
   
 3. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,320
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma mkuu tuko pamoja:yield:
   
Loading...