Rais mpya wa Gambia Adama Barrow kurudi nchini kwake leo

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
[HASHTAG]#GAMBIA[/HASHTAG]:Rais mpya wa Gambia Adama Barrow kurudi nchini kwake leo jioni kuchukua uongozi.
Taarifa zinasema Barrow atakaa katika makazi yake kwanza wakati ukaguzi ukifanywa Ikulu kuchunguza kama kuna hatari yoyote.
 
Back
Top Bottom