Rais Mohamed Shein afanya mabadiliko kidogo katika muundo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Papaa Muu

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
243
500
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko kidogo katika muundo wa Serikali kwa kuigawa Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika Wizara mbili ambazo ni Wizara ya Katiba na Sheria, na Ofisi ya Rais – Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Aidha amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi na kuwateua Viongozi na Watendaji katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:

1. OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

I. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi wa Umma Utawala Bora – Mheshimiwa Haroun Ali Suleiman.

II. Katibu Mkuu katika Ofisi ya Rais- Utumishi wa Umma na Utawala Bora – Bwana Yakout Hassan Yakout.

III. Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Rais- Utumishi wa Umma na Utawala Bora – Bwana Seif Shaaban Mwinyi.

2. WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

I. Waziri wa Katiba na Sheria – Mheshimiwa Khamis Juma Mwalimu.

II. Katibu mkuu katika Wizara ya Katiba na Sheria Bwana – Georg Joseph Kazi.

3. WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO.

Waziri wa Fedha na Mipango – Mheshimiwa Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa.

4. WIZARA YA KILIMO, MALIASILI,MIFUGO NA UVUVI.

I. Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi - Mheshimiwa Mmanga Mjengo Mjawiri.

II. Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Kilimo , Maliasili, Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia masuala ya kilimo na Maliasili – Bibi Mansura Mossi Kassim.

III. Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya , Maliasili, Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia masuala ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Omar Ali Amir.

5. WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali – Mheshimiwa Simai Mohammed Said.

6. WIZARA YA ARDHI, NYUMBA, MAJI NA NISHATI

Naibu Katibu mkuu katika Wizara ya ardhi, Nyumba , Maji na Nishat – Bwana Salhina Ameir Mwita.

Uteuzi huu umeanza leo tarehe 3 Machi, 2019.

Waheshimiwa Mawaziri, Naibu Waziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu walioteuliwa wanatakiwa kuripoti Ikulu kesho Jumatatu tarehe 4 Machi, 2019 saa 7 za mchana tayari kwa kuapishwa.
 
Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,066
2,000

Why the same day with JPM?
 
  • Thanks
Reactions: prs

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,618
2,000
Hongera sana Mhe. Mohamed Ramia Abdiwawa. Huyo ni classmate wangu UDSM.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom