Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,448
- 16,311
Hii rekodi aliyoiwekaga Rais BWM sijui kama kuna Rais atakayekuja kuivunja. Hii check mark aliyoiwekaga ni kubwa sana, atakaivunja basi atakuwa mwamba haswa na ikiwezekana tutamuongezea mihula kadhaa..
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Toka 1961 - 1985, ambayo ni miaka 24 ilikua 3T.
Ally Hassan Mwinyi 1985 -1995 yaani miaka 10 lilikua kutoka 3T mpaka 18T.
1995 - 2005, Benjamine Willium Mkapa mzee mwenye rekodi nzuri kiuchumi alipambana kutoka deni la 18T na kubakia 10T.
2005 - 2015 Jakaya Mrisho Kikwete miaka 10 likatoka 10T mpaka 35T.
Kwa JPM sasa kabla hata ya kumaliza miaka 5, 2019 deni la taifa lilikua kutoka 35T mpaka 61.8T.