Akizungumza miaka kadhaa iliyopita Mkapa ambaye kwa sasa no Rais mstaafu alitoa utetezi wake kwa wawekezaji kuwa siyo wezi kama watu wanavyowafikiria.
Nini maoni yako?
=====
Jun 21, 2005
RAIS Benjamin Mkapa amewataka Watanzania kuondokana na kasumba kuwa wawekezaji katika sekta ya madini ni wezi.
Amekanusha pia madai kuwa wawekezaji wanafilisi mali asili iliyopo na kwamba itawaacha Watanzania katika dimbwi la umasikini.
"Hawa si wezi ni wabia wa maendeleo yetu na uwiano wa maslahi na haki yetu
"Hawa si wezi ni wabia wa maendeleo yetu na uwiano wa maslahi na haki yetu ipo, naondoka madarakani miezi minne ijayo nikaacha Serikali ijayo ambayo naamini itakuwa ya CCM na kwamba uwiano na haki vitaendelea,"