Rais Mills wa Ghana na Rais Satta wa Zambia mbona hawaitwi kuja Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Mills wa Ghana na Rais Satta wa Zambia mbona hawaitwi kuja Tanzania?

Discussion in 'International Forum' started by Kennedy, Apr 16, 2012.

 1. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,262
  Likes Received: 2,935
  Trophy Points: 280
  Salaam kwenu wote. Hawa Marais hapo awali Nchi zao zilikuwa, zinaongozwa na vyama tawala yaani kama Ccm kwa hapa nyumbani. Pia vipindi hivyo huwa marais hao kabla ya Upinzani kushika hatamu,walikuwa wakialikwa kuja nchini kwa ziara mbali mbali za kiserikali.Mfano maonyesho ya sabasaba n.k

  Lakini kwasasa nchini mbili ziko mikononi kwa vyama pinzani,kihalali kwa maamuzi yaliyotukuka ya wananchi baada ya kuvichoka vyama tawala. Hoja yangu ni kutaka kujua ikiwa kama ccm hapo awali ilikuwa ni swahiba mzuri na nchini hizi na sasa wako wapinzani, uswahiba umekwisha?

  Je hawa marais wakati wanaapisha Rais wetu alikwenda maana naona huenda kwakuwa GHANA na ZAMBIA ni wapinzani undugu ukafifia.
   
 2. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama hiyo ni sababu. Ghana na Nigeria hatujakuwa nao karibu sana.

  Zambia nadhani hawajaseto bado ndio maana.
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  rais anaweza mleta Ramsey mwigizaji wa nigeria
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,053
  Likes Received: 3,966
  Trophy Points: 280
  ukiwaita hao ina maana utaamsha morali ya mageuzi! Wadanganyika wataona alaaah kumbe inawezekana...
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Sometimes it pays just to shut up instead of opening your mouth and say things that you yourself do not understand! Utadirikije kusema sisi na Ghana na Nigeria hatuna uhusiano wa karibu ; **** wakati hapa nchini kwetu mahakama zilikuwa na mahakimu karibuni wote wa kutoka Nigeria na pia ghana na sisi tulikuwa na mahusiano mazuri sana hata timu zetu za mpira zilikuwa na urafiki mkubwa sana. Siku hizi hawa serikali ya magamba fisadi haina confidence Kama serikali za magamba aslia kwasababu ya wizi na ufisadi wao hivyo hawawezi kuwa karibu na progressive governments kama za wakina Satta na Mills; watakuwa karibu na wezi wenzao wa Malawi na DRC basi!!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,029
  Trophy Points: 280
  Ccm wamechanganyikiwa, upepo wa kisulisuli kutoka Chadema unawang'oa kuanzia kwenye udiwani, ubunge na 2015 Chadema wanachukua nchi
   
 7. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mbona huko mbali sana? Mwai Kibaki hapa Kenya si anatoka upinzani?
  Na Raila, si anatoka upinzani wa upinzani? na leo wanaendesha nchi?
   
 8. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hao huwa wanakuja...hawana tofauti sana na wenzao wa Magogoni.:)
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Wana tofauti sana na wa magogoni ,kwani wao " do not manufacture teachers"!
   
 10. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Inawezekana kweli, hebu soma hii hapa chini:

  Mi sikuwepo...:disapointed:
   
Loading...