Tatizo lako unang'ang'ania upande mmoja tu. Nenda kwenye wall yake fb utapata maelezo.
okay! kaulizie kwa mtendaji wa kijiji au ofisi ya usalama wa taifa wilaya kwenu utapata jibu.:A S angry:
Ungesoma kwanza post ya MM ndipo ukaendelea na haya yako.
Shida yenu mnakurupuka kama mtu anaekimbia mvua ya mawe.
FIKIRI KWANZA
Click Dr. Wilbroard slaa au Chadematz utapata habari zake kwenye facebook
lakini mbona kauliza kwa upole....ilikuwa kuna haja gani ya kumjibu kama mmekimbizwa mkapitiliza kwenu.....angejua kote huko angekuja kuuliza hapa....kama hujui jamani kunyamaza si bora zaidi....mi nadhani hamjamtendea haki mwenzenu.....kama hujui nyamaza watakuja wanaojua watamjibu
No wisdom no understanding, no understanding no trust, no trust no peace, no peace no love, no love no unity, no unity no progress. Step out u wisdomless JF members.., great demoralizers!
WISDOM IS AS IMPORTANT AS LIFE
Tatizo lako unang'ang'ania upande mmoja tu. Nenda kwenye wall yake fb utapata maelezo.
Asante umeliona hilo!!! baadhi ya members humu ni wajuaji mno , lakini wanasahu ulimwengu huko huku!!
baadhi ya wanachadema ni vichwa maji wanachojua ni kutukana na kujibu hovyo, no matter what wo kila aanayeuliza au kushauri tofauti ni ADUI!!! I fail to understand these guys!!
Angalau Slaa ameshindwa Urais, maana angeshika urais , kama aangekuwa anakosea kitu, humu ndani msingekalika, I simply hate many chadema fans who dont think just ushabiki tu.
afadhali umeliona! siku hizi unashindwa mpaka kukaribisha watu jamii forums,
Preta, Pole kwa kutokunielewa, NIMEMJIBU ILIVYOSTAHILI, NA HUYO SI MGENI KAMA UNAVYODHANI BALI NI MGENI MWENYEJI. NAPENDA KUKUAMBIA KWAMBA MHE. RAIS TULIYENAYE NI MMOJA TU NAE NI DOKTA JAKAYA MRISHO KIKWETE. Je huoni kwamba kumuita Rais mwingine asiyekuwa yeye hatutendi haki? Preta vipi mtu asiyekuwa mume wako, akikuita wewe kama mkewe inakubalika? Lazima tukubaliane na UKWELI hata kama HATUUTAKI. JK ndiye Rais halali kwa mapenzi ya Mungu mpaka :wink1:2015 hata kama hatutaki, hata kama hatumpendi ITABAKI HIVYO.lakini mbona kauliza kwa upole....ilikuwa kuna haja gani ya kumjibu kama mmekimbizwa mkapitiliza kwenu.....angejua kote huko angekuja kuuliza hapa....kama hujui jamani kunyamaza si bora zaidi....mi nadhani hamjamtendea haki mwenzenu.....kama hujui nyamaza watakuja wanaojua watamjibu