Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,428
Ndugu wana jamvi,
Kwa kipindi cha miaka 51 sasa toka tupate uhuru,viongozi kadhaa wamepita lakini kila mmoja alipokuwa anaingia madarakani watu wengi walidhani ni mkombozi ila baada ya kuingia na kufanya kazi kwa muda mpaka anatoka ,kila mmoja alikumbana na lawama kali.Inawezekana kabisa kwamba viongozi wetu wa kitanzania ni wadhaifu sana ukilinganisha na viongozi wa nchi nyengine.
Hata hivyo kwa kuwa viongozi hawa hotekea katika jamii ya watanzania kwa bahati nasibu;ikiwa ni dhaifu kiasi hicho basi itakuwa vizazi vya watanzania ni thaifu kwa ujumla wake.
Sasa pengine kwa maoni?ni kiongozi gani toka mataifa yameanza duniani watanzania tungependa tuwe na kiongozi mfano wake?maana kila siku tumekuwa tukisema "mbona wenzetu wao! mbona wenzetu wao!"Tupieni mifano ya viongozi bora na sifa zao humu tafadhali.