Rais mfano wa kuigwa duniani Watanzania tungepata mfano wake tuishi maisha azizi yaliyojaa neema.

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,172
7,427
Ndugu wana jamvi,
Kwa kipindi cha miaka 51 sasa toka tupate uhuru,viongozi kadhaa wamepita lakini kila mmoja alipokuwa anaingia madarakani watu wengi walidhani ni mkombozi ila baada ya kuingia na kufanya kazi kwa muda mpaka anatoka ,kila mmoja alikumbana na lawama kali.Inawezekana kabisa kwamba viongozi wetu wa kitanzania ni wadhaifu sana ukilinganisha na viongozi wa nchi nyengine.

Hata hivyo kwa kuwa viongozi hawa hotekea katika jamii ya watanzania kwa bahati nasibu;ikiwa ni dhaifu kiasi hicho basi itakuwa vizazi vya watanzania ni thaifu kwa ujumla wake.

Sasa pengine kwa maoni?ni kiongozi gani toka mataifa yameanza duniani watanzania tungependa tuwe na kiongozi mfano wake?maana kila siku tumekuwa tukisema "mbona wenzetu wao! mbona wenzetu wao!"Tupieni mifano ya viongozi bora na sifa zao humu tafadhali.
 
Viongozi wapo hapa hapa, waliowahi kwa marais hawajawahi kuchaguliwa na wananchi ukiondoa Nyerere.
 
kwa nini?
Kwa sababu anachokifanya kina maslahi kwa wananchi wake,kwa mfano aliamua kutaifisha kampuni ya mafuta ya kimarekani mara tu alipoingia madarakani na ndani ya miezi sita tu wananchi walianza kufaidika na mafuta yao kitu ambacho ni kigumu kwa viongozi wengi wa sasa kufanya.
 
Ndugu wana jamvi,
Kwa kipindi cha miaka 51 sasa toka tupate uhuru,viongozi kadhaa wamepita lakini kila mmoja alipokuwa anaingia madarakani watu wengi walidhani ni mkombozi ila baada ya kuingia na kufanya kazi kwa muda mpaka anatoka ,kila mmoja alikumbana na lawama kali.Inawezekana kabisa kwamba viongozi wetu wa kitanzania ni wadhaifu sana ukilinganisha na viongozi wa nchi nyengine.Hata hivyo kwa kuwa viongozi hawa hotekea katika jamii ya watanzania kwa bahati nasibu;ikiwa ni dhaifu kiasi hicho basi itakuwa vizazi vya watanzania ni thaifu kwa ujumla wake.Sasa pengine kwa maoni?ni kiongozi gani toka mataifa yameanza duniani watanzania tungependa tuwe na kiongozi mfano wake?maana kila siku tumekuwa tukisema "mbona wenzetu wao! mbona wenzetu wao!"Tupieni mifano ya viongozi bora na sifa zao humu tafadhali.

Bokasa
 
Si umeona kapigwa vikwazo siku zote ili awaachie wazungu ardhi nzuri kagoma. na bado yupo anaendelea. Tanzania ya sasa tunahitaji tupate kiongozi kama yeye
lakini unaona je nchi yake ilivyo kwenye hali ngu ki uchumi na mfumko wa bei?unaona je wanaomshutumu kwamba ni dikteta anaeng'ang'ania madaraka?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom