Rais mdogo duniani - North Korea

Wewe kweli dunia haujui, nchi yenye nyuklia warheads nyingi ya kwanza urusi then Marekani. Hiyo North Korea hamna kitu ukilinganisha na mataifa makubwa duniani, nyinyi ndio miaka ya nyuma mlikua mnasifia sadam hussein na scud missiles, hakuna kitu hapo, huyo dogo wakimtaka seriously hawezi pona,tatizo Marekani na nchi za magharibi ushambulia sehemu zenye rasilimali, Korea kaskazini hakuna kitu so akitaka kuchapwa ashambulie American interest atakiona.
Umarekanism fever
 
Northern Korea inajivunia kitengeneza kombora linaloweza kurushwa mpk marekani

Ukitaka kujua hawa jamaa walianza lini michakato yao fatilia IRIs na Athena

Alafu jiulize hawa IRIS ni nani
 
Duh! Ndii mtu maarafu wa kwanza wa kizaz hiki ambae umri wake unakadiriwa..

"Inakadiliwa kazaliwa kati ya 1983-1984" niweke sawa hapa mkuu laasihvyo ntakuwa nmepata ufumbuz wa maswali yangu,, kwanin mkorea juyu akili zake anazijua mwenyewe
 
Wewe kweli dunia haujui, nchi yenye nyuklia warheads nyingi ya kwanza urusi then Marekani. Hiyo North Korea hamna kitu ukilinganisha na mataifa makubwa duniani, nyinyi ndio miaka ya nyuma mlikua mnasifia sadam hussein na scud missiles, hakuna kitu hapo, huyo dogo wakimtaka seriously hawezi pona,tatizo Marekani na nchi za magharibi ushambulia sehemu zenye rasilimali, Korea kaskazini hakuna kitu so akitaka kuchapwa ashambulie American interest atakiona.
Wewe unatakiwa ujue kwamba N. Korea ni mojawapo ya nchi yenye usiri wa hali ya juu na hata hao C.I.A (World Fact Book) huwa wanafanya makadirio ya uchumi na nguvu ya kijeshi ya N. Korea ila hawana data kamili kuhusiana na nguvu ya N. Korea.
 
Back
Top Bottom