Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 859
- 1,012
Kumekuwa na kila aina ya matengenezo na marekebisho ndani ya Dar kwanini ni Dar tuu wakati mikoa mingine tunakosa hata barabara ya kokoto? Mzee umeona nini Dar kila kitu Dar.
Wakati mikoa ya Kusini wanapata tabu hata ya soko na bei ya korosho wee unaipamba Dar kila kukicha!
Nimekuja Dar juzi aisee kweli unaifanya Dar kama Ulaya ila inamanufaa gani kwako Dar!
Unaacha tengeneza barabara ya kuingia hifadhi ya taifa ya serous inayopitia KIBITI to Mloka.
Unaacha fatilia mambo muhimu kama mikopo kwa wanafunzi ajila kwa wahitimu wee unaipamba dar tu why?
Unaacha fatilia upatikanaji wa dawa mahospitalini hata diklofenaki ukanunue duka la dawa baba angu wee unaipamba dar!
Unaacha fatilia maswala kupanda kwa kodi baba angu wee Dar tu!
Unaacha fatilia matapeli wa mitandao wale wa tuma ela kwa namba hii mzee wee Dar na yako tuu?
MZEE DAR UMEONA NINI?