Rais mbona unazidi iremba remba Dar-es-Salaam unataka kuifanya...

Huna akili!
Mi nimeongelea barabara tuuu
Punguza stress zako za maisha kichaa wewe.

Hiyo link nimekuwekea inahusu matako ? Kama sio Barabara.

Umetoka kwenu shamba unashangaa Barabara mwehu wewe. Unawekewa link uondoe upumbavu ulikokujaa kichwani ulaleta ujinga wako wa kijijn
 
Wewe ndo akili huna jua kwanza DMDP ni nn na alichokijibu jamaa.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Halina akili Hilo ,

Halijui hata nini maana ya DMDP linaanza kuita watu hawana akili. Kuna matanzania ni misukule hata ulipe evidence ipi litashupaza shingo Kama hili taahira limeloleta mada.
 
Hivi na kule njia panda ya Tegeta A kwa madawa.....mnapopakizwa kwenye bajaji moja watu saba ni dar au daslam?
 
Dar inachangia 70% GDP
Yap, nchi inapotegemea Dar kwa kiwango hicho ni lazima iwe na miundombinu ya kisasa. Hatuwezi kuendelea kupoteza 4 billion kwenye traffic jams kwa siku. Hivyo ni lazima Dar patengemae kwanza ili tuweze kukusanya zaidi halafu ndio turudi mikoani kwa nguvu kubwa zaidi.
Laukama hii over dependence ya 70% ya gdp kutoka Dar si kitu kizuri sana kiuchumi, ingekuwa mikoa mingine inachangia 80% na Dar 20% tu walau kungekuwa na balace. Vipi umeme ukikatika kwa wiki mbili katika jiji la Dar hasara yake itakuwaje?
Jitihada zifanyike ku-diversify uchumi ili kuepuka hilo.
 
Pato kubwa la serikali linapatikana Dar.. Na ni Dar ndipo mnakuja kuuzia kusafirisha mazao kwa wingi...
Wacha choyo mkuu...
 
Back
Top Bottom