kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,562
- 2,628
Kamuoe unatamaaHivi mke wa marehemu si anaweza kuolewa tena wajameni. Kama Graca Machel vile wakuu.
Kamuoe unatamaaHivi mke wa marehemu si anaweza kuolewa tena wajameni. Kama Graca Machel vile wakuu.
Duuuuuu!!!!! Sasa wale walinzi wake JPM yule jamaa bounsa aliyekuwa anakaa kulia kwa JPM na yule mwenye sigda kwenye paji la uso na yule mpambe wake pamoja na jamaa mmoja bonge alikuwa anashika ki-briefcase fulani ndo basi tena kuonekana kwenye kameras.
Maisha yanaenda haraka na mbio sana!!!
MachodhiiiNa ww ukifa watanzania wakuonyeshe nini? Au mwenzetu una Mkataba na Mungu?
Ila nyieZile Raba za Adidas azikwe nazo kwakweli.
Ndo kipenzi chake zile.
Sasa amekosea wapi kwani??.Bashiru Ally punguza ku kaba. Najua utatolewa hapo wala VP hupati.
UwiiiiMagufuli hakufa kwa Corona kafa kwa ugonjwa wa moyo Corona haipo Tanzania labda kwenu
Mama Samia atatuponya majerahaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtembelea mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais Samia amepomtembelea Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake Jijini Dar es salaam Machi 19, ambapo aliongozana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ali.
View attachment 1729309
View attachment 1729311
Kama kila mtu atakataa kutangulia kama wewe,atangulie nani sasa ?
Hakuna anaeweza kukataa kutangulia, hata wewe ni hakika kuna watu utawatangulia utake usitake, iwe leo au miaka 100 ijayo. Kaa nalo kichwani hilo.
Kamanda ulimaanisha (TISS)
Maana hiyo TEETH ulioiandika ni meno
kwa kiswahili kamanda
Hiv huyu mama Janeth Kumbe alishatolewa tayari Ikulu punde baada ya mumewe kufariki? Hii imenifikirisha sana aisee.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtembelea mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais Samia amepomtembelea Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake Jijini Dar es salaam Machi 19, ambapo aliongozana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ali.
View attachment 1729309
View attachment 1729311
Duh kweli jamaa mkoloni hadi leo wanatandika hivyo vitambaa kwa makochi
Wale ndio walikuwa wanampa kichwa ili atutukane vizuri kwenye hotuba zake.Duuuuuu!!!!! Sasa wale walinzi wake JPM yule jamaa bounsa aliyekuwa anakaa kulia kwa JPM na yule mwenye sigda kwenye paji la uso na yule mpambe wake pamoja na jamaa mmoja bonge alikuwa anashika ki-briefcase fulani ndo basi tena kuonekana kwenye kameras.
Maisha yanaenda haraka na mbio sana!!!
Haya sasa!Dah,kwa kweli ni shida.Watu wengi inaelekea hamjui kwamba mambo kama social distancing,lockdowns na hata barakoa ni conditioning processes for a not very distant future totalitarian World government.Hayana real value and advantage.And people do not also seem to understand that facemasks are extremely dangerous.Yes,they are.
sana tena sana mke kwakweli alipata!!! Binafsi namuombea!!!Ila Jiwe alikuwa ana mke mzuri na mnyenyekevu sana
Mmmm mambo ya watu hayo wanataka kuwa kama watu wakaida huku kwetu!Nimtazama sakafu ni kama imechoka, ina maana Ikulu wanasubiri sakafu ichoke kiasi kile!!
View attachment 1729462
kajesca kako wapi? Umri tafadhali!!!Huyo ni mama Jesca.
Yaani naona somo hilo halipo maana nimeona, kwenye mkutano wa Mh. Samia na baraza la mawaziri naona wamejazana tu,bila kuchukua tahadhari... Hongereni.Mbona Rais wetu hajavaa barakoa.
acha uchawi usituroge humu jf .....umesikia ngoma wapi au muziki watu wanacheza?Kuna baadh wa watu akir zao ni finyu mnafulahi mtu kufarik amjui kama kila nafs itaonja mauti kifo ni ibada tunajua kifo kimegusa wanyonge watu wenye mipango yenu nd mnafulahia