Uzur katazo kaliona anawez kuwambia wapumzikeNguvu kubwa ya shetani na mwakala wake ni kupitia kifo.
Hata mamlaka za dunia zinapoyaka kuwatawala watu kimabavu zinatia vitisho na kuua mana kila mtu anaogopa kifo.
Kuna Matukio mawili makubwa : -
Kifo cha aliyekua mtawala wa Tanzania (alishakufa tayari) , imebaki kumbukumbu tu.
na Kufa kwa Masihi Yesu( huzuni) mtawala wa mbingu na nchi na kufufuka kwake (furaha kuu ) ili akamfufue huyo aliyewahi kuwa Mtawala wa Tanzania siku ya Kiyama ya wafu.
Hakika tunapaswa kushangilia kwa furaha kuu na shangwe kuu kufufuka kwa Mtawala wa Dunia na mbingu Masihi Yesu.
Huyu ndiye atakayemfufua Magufuli siku ya Mwisho.
Hawa watu wa dola walijishau sana na kudhini wao ni miungu.
Wajishushe sasa.
Walowatisha watu sana mpaka viongozi wa dini wakawa wanamtukuza binadamu na kumdharau Mungu kwa hofu na woga kutekwa kufungwa na hata kupotezwa.
Walijipendekeza wakajikweza mpaka mawinguni.
Nilidhani kuwa msisitizo ungekua ni kuepuka vitendo vya kihalifu wakati wa Pasaka lakini sio kufurahia kufufuka kwa Masihi kama Wakristo wote wanavyoamini.
Watu wanataka kuanza mapama kumpaka matope rais wetu Mpendwa sana sana Mama Samia kwa kumchonganisha na imani za watu wengine ili aonekane anaingilia mambo ya imani za watu.
Hii nchi ina amani na Mungu anailinda ili tumwabudu kwa haki na kwa uhuru .
Kama nakuelewKwa hii ishu, inaweza pita bila athari za hapohapo lakini mama ajue watu watakuwa na kinyongo moyoni na kila mara watakumbushia hili.
Kabsawametoa police statement, ipo pdf ,naileta soon, SIRRO alijua huyu mama ni sawa na mwendazake, kila zama na mambo yake.
Tena xn coz pasaka haifananishw na ushuzi wa aina yoyotekwenye ilo slawa busara haijatumika kwamba kusiwe na shamla shamla zozote. Wametukosea sana wafuasi wa yesu
Kwel dini zote zililetw na meli ila uhuru wa kuabudu muhimuAliyelitoa ni mpinzani wa Yesu, tena anakuona wewe ni KAFIRI, usitegemee huruma, kumbuka kuna wimbo mnaimbaga, MTETEENI YESU MLIO VITANI, ASKARI WA YESU, huu ndio wakati wa kumtetea dhidi ya wapagani wanaotaka kulilia maiti na kuacha mfufuka.
Yesu alileta wokovu, ila dini zimeletwa na meli.Kwel dini zote zililetw na meli ila uhuru wa kuabudu muhimu
Polisi pia wamezuia Dua ya kumuombea Marehemu Maalim Seif, kule LindiMkuu kwani lazima kila mmoja alie mtu akifa?
Mimi ni mpagani ila siungi mkono tamkoHivi ni nani asiyejua kuwa taifa limo kwenye maombolezo ya msiba wa mpendwa wetu Dk.John Pombe Magufuli? Hivi mtoa hoja ungekuwa na msiba ndani mwako na pasaka ikakukuta, ungeshughulika na msiba au ungekwenda kusherehekea pasaka?
Tambua serikali inathamini uhuru wa kuabudu na inaheshimu dini zote.Lililotufika ni kubwa na la muda.Pasaka ipo na itaendelea kuwepo.
kufufuka kwa Yesu tuache kushangilia wokovu na kumshinda shetani yaani Yesu kashinda KABURI NA MAUTI tumtukuze mwanadamu ambaye yupo kaburini?Tena xn coz pasaka haifananishw na ushuzi wa aina yoyote
mimi naunga mkono tamko ili Mungu awajibu hawa watoa tamko kwa moto, kiburi chao kimefika pomoni.Mimi ni mpagani ila siungi mkono tamko
Kwahyo tuache kuvaa condom tutembee peku syo?Nyie ndio wapinzani mnaovaa mabarakoa ya ajabuajabu, mtangulize mungu kwanza hakutakuwepo shangazi yake Korona.
Kila kitu kina nafac yake hata Yesu hakuwa anakula chakula kutoka mbingun.Nyie ndio wapinzani mnaovaa mabarakoa ya ajabuajabu, mtangulize mungu kwanza hakutakuwepo shangazi yake Korona.
Asant furaha imerudNaona watu wamepiga spana adi askari katoka kukanusha naona uma umeshinda bado kuusu bando tu
Mh!! Marehemu hanuniw?Polisi pia wamezuia Dua ya kumuombea Marehemu Maalim Seif, kule Lindi
Mm ni mpagani ila sina ugomvi na dhehebu lolote japo najua kuwa skujiumba.mimi naunga mkono tamko ili Mungu awajibu hawa watoa tamko kwa moto, kiburi chao kimefika pomoni.
Sio lazima tunalazimiahwa tuMkuu kwani lazima kila mmoja alie mtu akifa?
upagani nao ni dini kama zilivyo dini nyingine, hata ukienda mahakamani ama mfumo wowote rasmi mfano Polisi , kipengele cha dini utajaza mpagani ,ama freemason,ama Islam ama Pentekoste.Mm ni mpagani ila sina ugomvi na dhehebu lolote japo najua kuwa skujiumba.
MATAGA wanalazimisha wasio na huzuni wahuzunike.Sio lazima tunalazimiahwa tu
Saf kiongoz axant kwa msaada kisheria.upagani nao ni dini kama zilivyo nyingine, hata ukienda mahakamani ama mfumo wowote, kipengele cha diniutajaza mpagani ,ama freemason,