Rais Mama Samia kuwa makini na hili zuio la Polisi kuhusu Pasaka

Bado tuko kwenye huzuni,
Taifa letu bado liko ktk majonzi ya kuondokewa na Mpendwa wetu, bado majonzi hayajakauka. haifai.
tena sio kwa Mkoa wa DSM tu bali iwe ni kwa nchi nzima.
 
Hivi ni nani asiyejua kuwa taifa limo kwenye maombolezo ya msiba wa mpendwa wetu Dk.John Pombe Magufuli? Hivi mtoa hoja ungekuwa na msiba ndani mwako na pasaka ikakukuta, ungeshughulika na msiba au ungekwenda kusherehekea pasaka?
Tambua serikali inathamini uhuru wa kuabudu na inaheshimu dini zote.Lililotufika ni kubwa na la muda.Pasaka ipo na itaendelea kuwepo.
Rudi ukasome tena uzi utaelewa nilicho andika
 
Mara ya kwanza ilifuata mkumbo lakini mwendazake akaingilia kati kwa kupiga marufuku mambo yote yaliyoanzishwa kuzuia maambukizo na akasema hakina Korona, shangazi yake wala babu yake na Korona, na huo ukawa ndiyo mwisho wa Korona Tanzania.
Kwahiyo unaishi kwa maisha ya kuomgozwa na mtu ,upi utaisha wako kuhusu korona ukizingatia takwimu zilianza kutolewa na serikali?
 
Bado tuko kwenye huzuni,
Taifa letu bado liko ktk majonzi ya kuondokewa na Mpendwa wetu, bado majonzi hayajakauka. haifai.
tena sio kwa Mkoa wa DSM tu bali iwe ni kwa nchi nzima.
Kila mtu anafahamu tupo kwenye majonzi ila kuhusu kumpangia mtu cha kufanya hapo ndo shida mbona baa zipo wazi? Unaweza sema makasino hayafanyi kazi?
 
mpagani ni mtu yeyote asiye mwanini Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wa Maisha yake, regardless una dini yako nzuri ila kama unaomba, sali kwa jina la mtu mwengine na si la Yesu WEWE NI MPAGANI.
Unatoa maana kwa msingi wa ulivyo fundishwa msikitini, alafu huu sio uzi wa majibizano ya dini fungua uzi wako ili mbishane vizuri na wafia dini wanzako.
 
Unatoa maana kwa msingi wa ulivyo fundishwa msikitini, alafu huu sio uzi wa majibizano ya dini fungua uzi wako ili mbishane vizuri na wafia dini wanzako.
ameomba maana, kapewa.
ningekaa kimya ungekuja na lingine, ama na wewe unataka maana ya KAFIRI?

KAFIRI: ni mtu yeyote asiye amini uislam.
 
Kila mtu anafahamu tupo kwenye majonzi ila kuhusu kumpangia mtu cha kufanya hapo ndo shida mbona baa zipo wazi? Unaweza sema makasino hayafanyi kazi?
kklicho katazwa ni shamra shamra za madisco na matamasha.
sio utamaduni wetu sisi watanzania kufanya shamra shamra wakati tuko ktk majonzi makubwa, lkn unaweza kufanya nyumbani kwako na familia, ndugu na majirani
 
Kabla hatujachangia, sisi ambao hatujasikia tangazo la polisi tujuzwe
...wamezuia ibada? >>>Sioni mantiki ya kuzuia ibada kwakuwa hata Hayati alizikwa kwa kufanyiwa ibada
...wamezuia mikusanyiko? >>>Mikusanyiko imekuwa desturi yetu hata msiba tumelia tukiwa na msongamano mkubwa kabisa
...wamezuia shamrashamra? >>>Hapa ni sawa, ni vema kama taifa tukaungana kama familia kuomboeza na kuheshimu utaratibu tuliojiwekea
 
Imani Ina Nguvu Sana
Tunakumbuka Sabato Masalia Kutaka Kwenda Ughaibuni Bila Passport
Walipotezewa wapi wale watu?
Hawakuwa na ticket
Hawakuwa na passport
Hawakuwa na visa
Hawakuwa na pocket money
Hata hawakujua ni ndege gani wataruka nayo
 
Walipotezewa wapi wale watu?
Hawakuwa na ticket
Hawakuwa na passport
Hawakuwa na visa
Hawakuwa na pocket money
Hata hawakujua ni ndege gani wataruka nayo
Serikali Ilitumia Mkono Wa Chuma Kuwaondoa Airport
😀😁😂😃😄😅😆
 
Kabla hatujachangia, sisi ambao hatujasikia tangazo la polisi tujuzwe
...wamezuia ibada? >>>Sioni mantiki ya kuzuia ibada kwakuwa hata Hayati alizikwa kwa kufanyiwa ibada
...wamezuia mikusanyiko? >>>Mikusanyiko imekuwa desturi yetu hata msiba tumelia tukiwa na msongamano mkubwa kabisa
...wamezuia shamrashamra? >>>Hapa ni sawa, ni vema kama taifa tukaungana kama familia kuomboeza na kuheshimu utaratibu tuliojiwekea
Pasaka itavunja vipi taratibu??
 
Back
Top Bottom