Rais Magufuri Wajasiliamali tumengukiwa stainless steel

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Katika Muitikio wa Tanzania ya Viwanda, Wajasiliamali wengi sana tumejitokeza katika ubunifu wa viwanda vidogo vidogo hii imepelekea kupotea kabisa kwa stainless steel kwa ajili ya machine mambali amazo ni lazima zitumie bidhaa ya hii ya chuma. Hasa katika machine za kusindika chakula. Tunaomba Kama imawezekana SIDO wawezeshewe kuleta aina hii chuma ama watu binafsi wanaozalisha chuma wawezeshwe kutoa vyuma kwa ajili ya viwanda vidogo vidogo.

Ukiona hii Habari Mweleze President ni agent sana.
 
Back
Top Bottom