Rais Magufuli yuko sahihi kabisa baada ya muda tutakuwa kama Ethiopia

Ethiopia wamegawanyika sana kiukabila, mimi naona hayo ndiyo maendeleo ambayo Tz ndio tunajaribu kuyaiga kutoka kwao chini ya huu utawala wa kiimla.
Hata huyo Jiwe ni mkabila sana. Angalia teuzi zake na matumuzi ya hovyo ya fedha kwa kanda ya ziwa na wilaya ya Chatto
 
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli

Unamaanisha tutaanza kukamatwa kwenye nchi za watu tukiwa tumefungiwa kwenye makontena tukitoroka Tanzania?
 
Back
Top Bottom