minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Hoja ni kwa nini amiliki phD kisha hajui kingereza? Kama vipi afute hiyo phD abakie na vyeti vya darasa la saba kama Msukuma na kibajajiSasa kwani hoja ni nini, kama siyo kuelewa? Mwenzako Dr. Chakwera naye kakubaliana na mwenyeji wake kwa kupiga makofi, yaani KAELEWA. English fake hapo iko wapi!?
Hayo mnayo site sisi tulifundishwa kuwa "ni common mistakes in English" ambayo hata wakati fulani PM wa Uingereza aliwahi kuyafanya lakini audience yake ilimwelewa. Halafu why dwell on petty issues na kuacha kuzungumzia kushindwa kwa wapinzani in the coming GE hapo 28/10/2020!?