Rais Magufuli: Your Excellence I'm trying but I can't reach you

Unategemea na mwalimu wake wa awali wa Kiingereza alikuwa vipi. Isitoshe kiingereza ni lugha ya mabeberu. Huko Japan na China mbona hamuwasemi?
Majitu ya ovyo bado yapo.. Japan na China wanafundishwa shuleni kwa kiingereza?
 
Upumbavu ni kipaji.
Ukilaza ni laana.
Utumwa wa kimagharibi upo kwenye lugha tu!?
Kifaa ulichotumia kuandikia huo upupu wako ni zao la uhuru wa Kitanzania?
Hizo nguo zako ulizovaa ni zao la uhuru wa Kitanzania!?
Hizo "lamivudine" unazomeza ni zao la uhuru wa Kitanzania!?
Ukishaona unakasirishwa na kuanza kuandika kwaku ropoka ujue kabisa, inahitaji matukio kadhaa yakujifunza upate busara na utulivu wa moyo...Ukikua utaacha🤣🤣🤣
 
Ukishaona unakasirishwa na kuanza kuandika kwaku ropoka ujue kabisa, inahitaji mtukio kadhaa yakujifunza upate busara na utulivu wa moyo...Ukikua utaacha
Jifunze kuandika kwa ufasaha kwanza ndio urudi JF.
 
Mkuu Chakaza , lugha is not a big deal, WaChina hawazungumzi lugha nyingine yoyote zaidi ya Kichina and they are ahead of everything na soon wanakwenda kuitawala dunia!.

Magufuli baada ya kumpa mitano tena hapo October 28, 2025 tukiamua kumuongeza 10, Tanzania inakuwa kinara wa uchumi Africa
P
Kwa muda mrefu Wachina wamekua wakipeleka top Cream ya wanafinzi wao vyuo voluut vya Marekani na Uingereza. Pamoja na kujifunza utaalamu pia wanajifunza lugha. Top officials wa China wengi wanaongea Kiingereza.
 
His Excellency president Chakwera couldn't resist the laughter after listening to that heavy sukuma accent.
 
Back
Top Bottom