Rais Magufuli, yale magari uliyoenda nayo Rwanda vipi?

Zile gari mheshimiwa alizoenda nazo Rwanda vipi zinarudi lini dar? Kwanini hajarudi na hayo magari karudi na ndege ?Na gharama ya kuzisafirisha tupu huku yeye akirudi na ndege ni kubana matumizi au uharibifu wa matumizi?
Ndege Ya Jeshi La Wananchi Itayarudisha Hayo Magari. Labda Nikuulize Swali, Hayo Magari Yalifikaje Mwanza? Maana Rais Alienda Kwa Ndege Mwanza Na Kupanda Hayo Magari Kuelekea Chato
 
Heee kumbe Jeshi letu lina ndege kubwa ya kubeba magari yote yale? Imeanza lini hizo kazi? Maana miaka yote magari ya Rais yakiachwa huko mikoani au nchi jirani hurudi kwa barabara!!!
 
Zile gari mheshimiwa alizoenda nazo Rwanda vipi zinarudi lini dar? Kwanini hajarudi na hayo magari karudi na ndege ?Na gharama ya kuzisafirisha tupu huku yeye akirudi na ndege ni kubana matumizi au uharibifu wa matumizi?
Umenikumbusha wakati Fulani Museven alienda ulaya kwa ndege ya Rais kisha kurudi akapanda economy class ndege ya abiria ili kuonesha anabana matumizi!!!!
 
Zile gari mheshimiwa alizoenda nazo Rwanda vipi zinarudi lini dar? Kwanini hajarudi na hayo magari karudi na ndege ?Na gharama ya kuzisafirisha tupu huku yeye akirudi na ndege ni kubana matumizi au uharibifu wa matumizi?
unajifanya kiherehere siyo na kuchonga mdomo wako humu. Ngoja tukutafute tukueleze vizuri kama matumizi yalibanwa au kulikua nauharibifu wa matumiz.
 
Swali nnalojiuliza hyo ndege anayotumia ndo ile ya Rais? na je ilibaki Mwanza wakat anaenda Rwanda iliondoka kumfata huko au yeye ndo Alikuja kuifuata Mwanza..Mwisho nampongeza kweli Jpm/ na Kagama ni Majembe Africa nzima
 
Ndege Ya Jeshi La Wananchi Itayarudisha Hayo Magari. Labda Nikuulize Swali, Hayo Magari Yalifikaje Mwanza? Maana Rais Alienda Kwa Ndege Mwanza Na Kupanda Hayo Magari Kuelekea Chato
Hujaelewa hoja, umekurupuka, hoja ni gharama na sio kufikaje
 
Back
Top Bottom