Stream line
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 393
- 239
Nasema hivyo kwa sababu kila tatizo huachi kutoa solution yake, hilo mimi linanipendeza na kunishangaza. Ni kweli wakati mimi nasoma Chuo Kikuu haya mabasi nilikuwa nayapanda hadi faya nateremka na kwenda home, tena free. Leo kwangu imebakia historia yenye uchungu mwingi ninapowaambia wanangu kila nikifika pale utawala kuwa tulikiwa tukisubiri mabasi hayo saa 8 mahali hapa.
UDA wakati huo hazikuwa zinatosha. Uliponishangaza hukulalama tu, bali ulitoa na solution ya kuyarudisha mabasi hayo mitaani. Magari mengi niliyoyazoea kuyaona barabarani kila siku nikiwa mdogo (niliishi along Morogoro Road maeneo ya umoja wa vijana) yameandikwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na yakanitia mimi moyo kusoma hadi kufika UDSM leo HAYAPO!!!!
Yu wapi Kuhanga, Yu wapi Mmari? Walikuwa ni viongozi wazalendo kweli kweli. Wenye kutoa majibu katika tatizo kama ulivyo leo rais wetu. Wangekuwepo Mabibo Hostel wasingekuwa wanapandia nje ya uzio mabasi ya CRDB.
Mabibo mabweni yamejaa nyufa n.k. Chuo kimegeuka choo kichafu. Estate department ni kitengo jina tu sasa hakina meno. Hawawezi kufurukuta mpaka kitengo cha uwekezaji waseme so hakuna kitu kinatembea sasa hapo chuoni. Mbaya zaidi msemaji wa kitengo hicho si Mkurugenzi bali ni binti mwenye vyeo takribani vinne akishikilia kurugenzi 4.
Nakomea hapo.