Kweli hili jiwe halisikii wala kuona.amezoea utapeli anajua wote matapeliHayo kayasema asubuhi hii Tabora
View attachment 1576965
Sasa wao hawaendi na wana muziki wala malori.Hayo kayasema asubuhi hii Tabora
View attachment 1576965
Huyu jamaa maji yamezidi unga, awahishwe mirembe kabla hajaanza kuvua nguo jukwaaniHayo kayasema asubuhi hii Tabora
View attachment 1576965
magu haelewi tabia za wananchi anao waongoza,kwanza kajaribu kuleta ubaguzi wa kikabila na kikanda ili uwe rahisi kujiongezea muda Amefeli vibayakwenye hiloHeshima yangu yote kwa huyu mtu nimeifuta rasmi.
Drone akataze, kurusha hata kwenye taarifa ya Habari TBC akataze, leo anaongea upupu namna hii?
Rais mzima anajisifia mafuriko ya wananchi? Tena yakutengeneza?
Tumieni akili na siyo lazina muwe mmesona sana. CCM inapiga kampeni kila kona ya nchi nyinyi kazi uenu ni umbea na ulalamishi.Sasa nasika wengine hawapigi kampeni bali wanapanga baraza la mawaziri.Hivi mna akili kweli nyie ?Inaonyesha pumzi imemwishia kabisa.
Mwingine ANAJAZA wanafunziJPM anajaza nyomi mwanzo mwisho kila aendapo.masikini Lissu kuna mikoa hakupata watu mpaka huruma kwakweli.
Mkoa upi ndugu? Endeleeni kumdanganya kama mlivyomuanisha kuwa upinzani umekufaJPM anajaza nyomi mwanzo mwisho kila aendapo.masikini Lissu kuna mikoa hakupata watu mpaka huruma kwakweli.
Itakuwa ndio wanavyofanya CCM
Ngoja nizame chimbo nikuletee picha,nikianzia na Dar Mbagala Zakheem,Dodoma n.k.Mkoa upi ndugu? Endeleeni kumdanganya kama mlivyomuanisha kuwa upinzani umekufa
Hiyo nyomi inaenda kumsikiliza yeye au kucheza muziki?