Rais Magufuli: Wenzetu kule wanachakata picha ili waonekane wamejaza watu kwenye mikutano yao, waje waone kwetu

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Hayo kayasema asubuhi hii Tabora

20200922_113648.jpg
 
Heshima yangu yote kwa huyu mtu nimeifuta rasmi.

Drone akataze, kurusha hata kwenye taarifa ya Habari TBC akataze, leo anaongea upupu namna hii?

Rais mzima anajisifia mafuriko ya wananchi? Tena yakutengeneza?
magu haelewi tabia za wananchi anao waongoza,kwanza kajaribu kuleta ubaguzi wa kikabila na kikanda ili uwe rahisi kujiongezea muda Amefeli vibayakwenye hilo
 
Back
Top Bottom