Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Usikute wao tayari washapiga zao za kuwalindaKuna wakati unawaza sana. Mtu mzima anakuja na kudai eti chanjo haina maana kwanini wameshindwa kupata chanjo ya HIV ila kasahau wamepunguza makali kwa kuleta ARV. Anadai kwanini wameshindwa kuleta chanjo ya maralia kasahu alishapewa vyandarua. Sasa kama yeye anashindana na wazungu kwanini anashindwa kuhimiza maombi HIV na Camcer zipotee kama anavyohamini Corona itapotea kwa maombi. Nachukia sana