Rais Magufuli: Wasukuma na Wanyamwezi wengi walikuja Zanzibar na kutorudi tena usukumani akiwemo baba yangu mkubwa

Huu mungano uboreshwe Zaidi na Zaidi. Kasoro zirekebishwe. Siamini katika kuuvunja muungano sababu ya hawa wanasiasa wenye uchu wa kutawala.
Muingiliano wa watu wa pande mbili ni kielelezo tosha kwamba muungano una sababu nyingi za kuendelea kuwepo badala ya kufikiria waliokimbilia Uingereza warudi kuongoza nchi ambayo sio yao.
Maalimu nafikiria unanielewa
 
Joni mchatozaisheni mnavyorudi msisahau kupitia mloganzila hospitality na jiwe lenu kutoka huko visiwani mwambie Jiwe USSR anawangojea pale mloganzila toka Siku ya krlsimas mlivyokuwa chato
 
Rais Magufuli amesema Zanzibar ni kisiwa cha raha hata watanzania bara wengu wanapohitaji kupumzika huja Zanzibar.

Rais Magufuli amesema hata kaka wa baba yake alikuja Zanzibar na kubakia huko huko kama ilivyokuwa kwa wasukuma na wanyamwezi wengi

Source Channel ten
Anatembea, analala, anaongea...kitu pekee kilichoujaza Ubongo wake ni kabila lake la Kisukuma..

Kiongozi wa hovyo kweli huyu yan
 
na tangia JPM aingie madarakani Zenji kumetulia kabisaaa...hadi Maalim ameridhikaa na ametuliaa

~kuchoma makanisa...hakuna
~kuwafukuza tena wasukuma...ni big NO.!!
~kuwatimua wamasai...hakunaa
~hawa wakafiri...hatusikii tena
~kushambulia makasisi...imekomaa
~waliotamani kujitenga...hivi ss wanalilia nchi1 na Taifa1
~kuchomeana nyumba na kuacha kuzikana...haipo tena

JPM ashikilie hapohapo kwa kwelii..full Amani.

Mapinduzi Daimaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli amesema Zanzibar ni kisiwa cha raha hata watanzania bara wengu wanapohitaji kupumzika huja Zanzibar.

Rais Magufuli amesema hata kaka wa baba yake alikuja Zanzibar na kubakia huko huko kama ilivyokuwa kwa wasukuma na wanyamwezi wengi

Source Channel ten
So what? Tunapaswa kufanya nini sasa kuhusu hii kauli. Embu tuwe makini kidogo, sio kila kitu ni newsworthy, cha kuleta humu. Grow up.
 
na tangia JPM aingie madarakani Zenji kumetulia kabisaaa...hadi Maalim ameridhikaa na ametuliaa

~kuchoma makanisa...hakuna
~kuwatimua wamasai...hakunaa
~hawa wakafiri...hatusikii tena
~kushambulia makasisi...imekomaa
~waliotamani kujitenga...hivi ss wanalilia nchi1 na Taifa1
~kuchomeana nyumba na kuacha kuzikana...haipo tena

JPM ashikilie hapohapo kwa kwelii..full Amani.

Mapinduzi Daimaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Zanzibar ni Raha!
 
Huu mungano uboreshwe Zaidi na Zaidi. Kasoro zirekebishwe. Siamini katika kuuvunja muungano sababu ya hawa wanasiasa wenye uchu wa kutawala.
Muingiliano wa watu wa pande mbili ni kielelezo tosha kwamba muungano una sababu nyingi za kuendelea kuwepo badala ya kufikiria waliokimbilia Uingereza warudi kuongoza nchi ambayo sio yao.
Maalimu nafikiria unanielewa

Yeah ni kweli tena Kenya na uganda zimeungana na Tanzania kimipaka na familia zaid ya Zanzibar , tuunge muungano liwe taifa la kenya United
 
Back
Top Bottom