Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
Hawa madogo wa JKT sio siri wanachapa kazi sana. Wanajenga miundombinu ya nchi hii wakiwa na roho za kiuzalendo zaidi lakini serikali ya wanyonge imewatelekeza.
Hivi unajisikiaje kuzindua majumba ya mamilioni ya kutosha halafu wajenzi unawapa chakula na posho isiyozidi 40,000/= kwa mwezi?
Kama jeshi lipo LA kutosha na hakuna uhitaji wa watu, hao watoto wa watu warudishwe kwao. Na utaratibu wa kujitolea JKT ufutwe!
Nguvu wanazotumia mashambani, wangezitumia huko kwao kwa sasa wangeendelea sana.
Iweje wanaoenda JKT ni wengi Ila watoto wa wakubwa ndio wanapata ajira! Hii nchi ni yetu sote.
Nipo hapa home nasikiliza hotuba yako.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app