Rais Magufuli warudishe watoto wa JKT kwao

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Hawa madogo wa JKT sio siri wanachapa kazi sana. Wanajenga miundombinu ya nchi hii wakiwa na roho za kiuzalendo zaidi lakini serikali ya wanyonge imewatelekeza.

Hivi unajisikiaje kuzindua majumba ya mamilioni ya kutosha halafu wajenzi unawapa chakula na posho isiyozidi 40,000/= kwa mwezi?

Kama jeshi lipo LA kutosha na hakuna uhitaji wa watu, hao watoto wa watu warudishwe kwao. Na utaratibu wa kujitolea JKT ufutwe!

Nguvu wanazotumia mashambani, wangezitumia huko kwao kwa sasa wangeendelea sana.

Iweje wanaoenda JKT ni wengi Ila watoto wa wakubwa ndio wanapata ajira! Hii nchi ni yetu sote.

Nipo hapa home nasikiliza hotuba yako.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo waliochimba hadi barabara na vyoo kwa mzee wa kikombe cha babu hadi leo wako uraiani sembuse hao?
 
Kama ulisoma historia darasan ile
Maana halisi ya """" 1_cheap labour
2_ Forced labour
3_Lowly wages
4_Loss of freedom
5_Migrant labour

Vyote tuliviona tuliopitia jkt""""
Sikushauli uende ama umpelek mwanao awam hii....hakuna ajira huko ,,,wala uzalendo siku hiz huko""

Ni maumivu tuu:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nebuchadinezzer, waende kwao wakafanye nn apo ni kunywa maji moyo uelee na kushona huu ndio uzalendo uliotukuka kweny mkataba hakuna kipengele cha kuajiliwa ukiwa volunteers ila jkt Kuna opportunities kibao kwenda magereza TISS JWTZ police uhamiaji wote hawa wanafanya usaili jkt kutafuta vijana ebu waache bhana wakichoka wataondoka wenyew
 
Hawa madogo wa JKT sio siri wanachapa kazi sana. Wanajenga miundombinu ya nchi hii wakiwa na roho za kiuzalendo zaidi lakini serikali ya wanyonge imewatelekeza.

Hivi unajisikiaje kuzindua majumba ya mamilioni ya kutosha...halafu wajenzi unawapa chakula na posho isiyozidi 40,000/= kwa mwezi?

Kama jeshi lipo LA kutosha na hakuna uhitaji wa watu, hao watoto wa watu warudishwe kwao. Na utaratibu wa kujitolea JKT ufutwe!

Nguvu wanazotumia mashambani, wangezitumia huko kwao kwa sasa wangeendelea sana.

Iweje wanaoenda JKT ni wengi Ila watoto wa wakubwa ndio wanapata ajira! Hii nchi ni yetu sote.

Nipo hapa home nasikiliza hotuba yako.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hoja yako ingekuwa na Mashiko sana kama hao Watoto kwenda au Kujiunga huko JKT huwa wanalazimishwa lakini bahati nzuri ni kwamba wengi wao huwa wanapenda kwenda huko wenyewe kutokana na Msoto wa Kukaa Mitaani kukosa Shughuli ya Kufanya wanaokutana nao. Hapa sijajua kuwa unawaongelea wale wa kwa Mujibu wa Sheria au ni wale ninaowalenga Mimi wa Kujitolea wenyewe ambao najua kuwa ndiyo Kundi Kubwa lililoko huko.

Na labda kwa Kukusaidia tu ni kwamba unaweza ukadhani na ukadhihaki hiyo Hela wanayopewa uliyoitaja hapo kuwa ni Ndogo ila taarifa ikufikie kuwa kuna Watu ( tena Wasomi ) wakubwa tu Mitaani hata hiyo Hela uliyoitaja hapo wanaihangaikia kwa Mwezi na hawaipati kutokana na Vyuma Kukaza au Ajira kuwa ngumu na kama wakiipata hiyo Hela basi jua wameomba tu Msaada ( Wamegongea ) kwa Wazazi, Ndugu na Marafiki.

Nje ya Jicho lako kuwa huko JKT ni sehemu ya Mateso au Kuwapotezea tu Watoto muda ila nakuambia tu ya kwamba kwa aina ya Mafunzo mbalimbali achilia mbali yale ya Kimedani ( Kijeshi ) wanayopata ila pia hao Watoto huwa wanapata Elimu zingine mbalimbali za Kiujasiriamali ( Kiuchumi ) na Kilimo kiasi kwamba kama wengi wao na walezi Wao wakiwa ni ( Pro Active ) wanaweza Kutumia Ujuzi walioupata huko katika Kujiajiri na wakawa Matajiri ( wenye Mafanikio ) hata kuliko Mimi na Wewe hapa.

Nadhani ungejikita zaidi katika kusema nini Kiboreshwe au Kifanyike ila siyo kuja na Dhihaka huku ukiona kuwa ni kama vile Vijana walioko huko JKT wanateswa au wananyanyasika kitu ambacho si kweli. Wanaweza kweli wakawa ni wengi walioko huko ila kwa Siku za karibuni baadhi yao wanaanza Kuajiriwa na Taasisi mbalimbali ( hadi zingine ni zile Nyeti ) kabisa. Na uzuri ni kwamba ukishakuwa na Mafunzo ya JKT na Ujuzi wa Kiujasiriamali unakuwa katika nafasi nzuiri ya Kupata Kazi ( Ajira ) muda na wakati wowote huku ukiwa unaaminika zaidi kuliko wengi wetu tunavyodhania.

Na uliposema kuwa Kazi za Shambani ambazo wamekuwa wakizifanya Wao hazina Tija umefanya nihoji pia uwezo wako wa Akili kwani ni kupitia Kazi hizo hizo za Mashambani ndiyo Mimi na Wewe tunaweza Kula na hata Kushiba na kuwa na Jeuli hizi hapa Mtandaoni. Kauli yako hiyo imekaa Kidhihaka zaidi kwa Wakulima ambao 24/7 Maisha yao ni ya Mashambani na katika Kilimo ambacho ndicho Uti wa Mgongo wa Watanzania wengi.
 
Hoja yako ingekuwa na Mashiko sana kama hao Watoto kwenda au Kujiunga huko JKT huwa wanalazimishwa lakini bahati nzuri ni kwamba wengi wao huwa wanapenda kwenda huko wenyewe kutokana na Msoto wa Kukaa Mitaani kukosa Shughuli ya Kufanya wanaokutana nao. Hapa sijajua kuwa unawaongelea wale wa kwa Mujibu wa Sheria au ni wale ninaowalenga Mimi wa Kujitolea wenyewe ambao najua kuwa ndiyo Kundi Kubwa lililoko huko.

Na labda kwa Kukusaidia tu ni kwamba unaweza ukadhani na ukadhihaki hiyo Hela wanayopewa uliyoitaja hapo kuwa ni Ndogo ila taarifa ikufikie kuwa kuna Watu ( tena Wasomi ) wakubwa tu Mitaani hata hiyo Hela uliyoitaja hapo wanaihangaikia kwa Mwezi na hawaipati kutokana na Vyuma Kukaza au Ajira kuwa ngumu na kama wakiipata hiyo Hela basi jua wameomba tu Msaada ( Wamegongea ) kwa Wazazi, Ndugu na Marafiki.

Nje ya Jicho lako kuwa huko JKT ni sehemu ya Mateso au Kuwapotezea tu Watoto muda ila nakuambia tu ya kwamba kwa aina ya Mafunzo mbalimbali achilia mbali yale ya Kimedani ( Kijeshi ) wanayopata ila pia hao Watoto huwa wanapata Elimu zingine mbalimbali za Kiujasiriamali ( Kiuchumi ) na Kilimo kiasi kwamba kama wengi wao na walezi Wao wakiwa ni ( Pro Active ) wanaweza Kutumia Ujuzi walioupata huko katika Kujiajiri na wakawa Matajiri ( wenye Mafanikio ) hata kuliko Mimi na Wewe hapa.

Nadhani ungejikita zaidi katika kusema nini Kiboreshwe au Kifanyike ila siyo kuja na Dhihaka huku ukiona kuwa ni kama vile Vijana walioko huko JKT wanateswa au wananyanyasika kitu ambacho si kweli. Wanaweza kweli wakawa ni wengi walioko huko ila kwa Siku za karibuni baadhi yao wanaanza Kuajiriwa na Taasisi mbalimbali ( hadi zingine ni zile Nyeti ) kabisa. Na uzuri ni kwamba ukishakuwa na Mafunzo ya JKT na Ujuzi wa Kiujasiriamali unakuwa katika nafasi nzuiri ya Kupata Kazi ( Ajira ) muda na wakati wowote huku ukiwa unaaminika zaidi kuliko wengi wetu tunavyodhania.

Na uliposema kuwa Kazi za Shambani ambazo wamekuwa wakizifanya Wao hazina Tija umefanya nihoji pia uwezo wako wa Akili kwani ni kupitia Kazi hizo hizo za Mashambani ndiyo Mimi na Wewe tunaweza Kula na hata Kushiba na kuwa na Jeui hizi hapa Mtandaoni. Kauli yako hiyo imekaa Kidhihaka zaidi kwa Wakulima ambao 24/7 Maisha yao ni ya Mashambani na katika Kilimo ambacho ndicho Uti wa Mgongo wa Watanzania wengi.
Hoja dhaifu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuuna alielazimishwa kujiungwa na jeshi la kujenga Taifa,kabla ya kujiunga huwa Kuna form ya mkataba unasoma na unajaza Sasa ,wewe unaizungumza hili kidogo haupo oky
 
Naked truth
Hoja yako ingekuwa na Mashiko sana kama hao Watoto kwenda au Kujiunga huko JKT huwa wanalazimishwa lakini bahati nzuri ni kwamba wengi wao huwa wanapenda kwenda huko wenyewe kutokana na Msoto wa Kukaa Mitaani kukosa Shughuli ya Kufanya wanaokutana nao. Hapa sijajua kuwa unawaongelea wale wa kwa Mujibu wa Sheria au ni wale ninaowalenga Mimi wa Kujitolea wenyewe ambao najua kuwa ndiyo Kundi Kubwa lililoko huko.

Na labda kwa Kukusaidia tu ni kwamba unaweza ukadhani na ukadhihaki hiyo Hela wanayopewa uliyoitaja hapo kuwa ni Ndogo ila taarifa ikufikie kuwa kuna Watu ( tena Wasomi ) wakubwa tu Mitaani hata hiyo Hela uliyoitaja hapo wanaihangaikia kwa Mwezi na hawaipati kutokana na Vyuma Kukaza au Ajira kuwa ngumu na kama wakiipata hiyo Hela basi jua wameomba tu Msaada ( Wamegongea ) kwa Wazazi, Ndugu na Marafiki.

Nje ya Jicho lako kuwa huko JKT ni sehemu ya Mateso au Kuwapotezea tu Watoto muda ila nakuambia tu ya kwamba kwa aina ya Mafunzo mbalimbali achilia mbali yale ya Kimedani ( Kijeshi ) wanayopata ila pia hao Watoto huwa wanapata Elimu zingine mbalimbali za Kiujasiriamali ( Kiuchumi ) na Kilimo kiasi kwamba kama wengi wao na walezi Wao wakiwa ni ( Pro Active ) wanaweza Kutumia Ujuzi walioupata huko katika Kujiajiri na wakawa Matajiri ( wenye Mafanikio ) hata kuliko Mimi na Wewe hapa.

Nadhani ungejikita zaidi katika kusema nini Kiboreshwe au Kifanyike ila siyo kuja na Dhihaka huku ukiona kuwa ni kama vile Vijana walioko huko JKT wanateswa au wananyanyasika kitu ambacho si kweli. Wanaweza kweli wakawa ni wengi walioko huko ila kwa Siku za karibuni baadhi yao wanaanza Kuajiriwa na Taasisi mbalimbali ( hadi zingine ni zile Nyeti ) kabisa. Na uzuri ni kwamba ukishakuwa na Mafunzo ya JKT na Ujuzi wa Kiujasiriamali unakuwa katika nafasi nzuiri ya Kupata Kazi ( Ajira ) muda na wakati wowote huku ukiwa unaaminika zaidi kuliko wengi wetu tunavyodhania.

Na uliposema kuwa Kazi za Shambani ambazo wamekuwa wakizifanya Wao hazina Tija umefanya nihoji pia uwezo wako wa Akili kwani ni kupitia Kazi hizo hizo za Mashambani ndiyo Mimi na Wewe tunaweza Kula na hata Kushiba na kuwa na Jeui hizi hapa Mtandaoni. Kauli yako hiyo imekaa Kidhihaka zaidi kwa Wakulima ambao 24/7 Maisha yao ni ya Mashambani na katika Kilimo ambacho ndicho Uti wa Mgongo wa Watanzania wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa madogo wa JKT sio siri wanachapa kazi sana. Wanajenga miundombinu ya nchi hii wakiwa na roho za kiuzalendo zaidi lakini serikali ya wanyonge imewatelekeza.

Hivi unajisikiaje kuzindua majumba ya mamilioni ya kutosha halafu wajenzi unawapa chakula na posho isiyozidi 40,000/= kwa mwezi?

Kama jeshi lipo LA kutosha na hakuna uhitaji wa watu, hao watoto wa watu warudishwe kwao. Na utaratibu wa kujitolea JKT ufutwe!

Nguvu wanazotumia mashambani, wangezitumia huko kwao kwa sasa wangeendelea sana.

Iweje wanaoenda JKT ni wengi Ila watoto wa wakubwa ndio wanapata ajira! Hii nchi ni yetu sote.

Nipo hapa home nasikiliza hotuba yako.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamelazimishwa KUJITOLEA jkt?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi watu wakilala hakika nawaambieni wakizinduka wapo watajikuta kaburinina matanga yashaish,huku juu ya ardhi watu wanapata mvinyo wa faraja.
[wahenga6:1:3]
 
Back
Top Bottom