Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,626
SASA MAGUFULI UNAWEWESEKA SASA KWA MADHAMBI YAKO!
Mswahili akiiba ela anawazag kijenga nyumba na kinunua vitu vya ghalama kwaiyo wakina kitilya wauze najumba yao na viwanja, magari na kuzitoa pesa kwenye account zao, mahaana mswahili tofauti na kanjibai, wahindi wanatuibia ela wanaziingiza kwenye mzunguko wa biashara zao.SITOI HELA YANGU HATA KWA KUNYONGWA HAROO!. SASA WAKO MAHABUSU HIYO HELA WATOE WAPI? NA WALISHA KULA?
UNAMPA SIKU SABA TU. UNAZIJUA ZILIPO?
MAWAZO YA KIMASKINI SHIDA SANA.
Hapana umekoseaMswahili akiiba ela anawazag kijenga nyumba na kinunua vitu vya ghalama kwaiyo wakina kitilya wauze najumba yao na viwanja, magari na kuzitoa pesa kwenye account zao, mahaana mswahili tofauti na kanjibai, wahindi wanatuibia ela wanaziingiza kwenye mzunguko wa biashara zao.
Wewe unafanya ionekane kuwa wanaotukana hupigwa risasi. Are you sure or you are trying to sensationalize this? Ebu orodhesha waliyo pigwa risasi kwa kutukana na mimi nioredheshe waliyotukana na bado hawajapigwa risasi. Hivi wale waliyomuita raisi mshamba walipigiwa wapi risasi?Kwanza heshima kwako mkuu. Pili, kama ulivyosema, kumtukana mtu ni kosa la jinai, kwa hiyo anayetukana anapaswa kupelekwa mahakamani na si kupigwa risasi.
Mimi nakubaliana na wewe. Hebu uangalie lipi afadhali! Mtu kaiba mabilioni kayaficha. Unamshitaki na kumfunga huku mabilioni huyapati. Si afadhali umwambie aombe msamaha, arudishe pesa yote ili itumike kwenye maendeleo!Wakuu Jamvini na Watanzania wenzangu.
Hakika nilishikwa na butwaa baada ya kusikiliza alichokisema, kwa sababu huko nyuma hii huruma hakuwa nayo na aliwasii watu wa sheria kufuata na kutumia sheria zilizopo na hata kusema sheria msumeno.... lakini baada ya mimi kutafakari na kwa kuwa kwa wakati huo nilikuwa nachambua historia za Afrika nilifikiwa na maoni haya......
Mheshimiwa Raisi anaona madudu yaliyojaa kwenye sheria za ukandamizaji tunazolazimishwa kutumia na wazungu. Mheshimiwa kwa mtazamo wangu mwingine ni kuwa anataka kuona overhaul ya sheria zinazopoteza wakati,mali, na hata kuingiliana na siasa. Watu wa sheria, maprofesa na waafrika wote wamsaidie kuchambua na kuyatafutia ufumbuzi wa mda mrefu.
Lazima tutafute mbadala wa sheria zinazopeleka watu jela tu! Tuheshimiane jamani, Kuna utu kwenye Tamaduni zetu! ki
Kuna wale ambao wanachukua credit...na kusimanga mwaafrika. Kaa chonjo Mwaafrika anaamka. Mila na desturi za mwafrika zizingatiwe katika mjadala wa mbadala wa sheria au mahakama ambazo Mheshimiwa Raisi ana suggest.
Sifikiri alikuwa anaangalia hili suala kisiasa bali ki filosofia.
Da! Hatuweki kwenye mizani kuwa waliopigwa ni wangapi na hawakupigwa ni wangapi!! Kwani hatakiwi mtu apigwe risasiWewe unafanya ionekane kuwa wanaotukana hupigwa risasi. Are you sure or you are trying to sensationalize this? Ebu orodhesha waliyo pigwa risasi kwa kutukana na mimi nioredheshe waliyotukana na bado hawajapigwa risasi. Hivi wale waliyomuita raisi mshamba walipigiwa wapi risasi?
Unamaanisha nani huyo Tundu Lissu?Wewe unafanya ionekane kuwa wanaotukana hupigwa risasi. Are you sure or you are trying to sensationalize this? Ebu orodhesha waliyo pigwa risasi kwa kutukana na mimi nioredheshe waliyotukana na bado hawajapigwa risasi. Hivi wale waliyomuita raisi mshamba walipigiwa wapi risasi?