Noncommited
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,125
- 369
Sasa umesema kila mtu alime hiyo bei kushuka atauziwa nani si kila mtu amelima? Mbona hauleweki Mkuu. Halafu ukae ufahamu si kila eneo linakubali kulima mahindi/mpunga au kila eneo linalimwa mazao. Na si kila mtu anamudu ulimaji wa mazao hayo.Ni suali zuri uliouliza.
Yea ikiwezekana kila mtu alime, Basic need mmoja wao ni chakula,
Kama ni mazao ya mahindi mfano, utakua hununui mahindi, na pia kama tumelima maheka tutakua na mahindi yakutosha, na tunavyo jua vyakula vikiwa vingi bei itashuka kwa nguvu ili tuwe na surplus ya mazao.