Rais Magufuli wa mtandaoni sio halisi, tunadanganywa

Yaani ukimfuatilia Mheshimiwa Rais akiongelewa humu mtandaoni utamchukia sana ila nimepata muda nikamfuatilia kwa umakini, kwa kweli tuna Rais anaefanya kazi.

Nadhani ni muda wa sisi kuungana naye ili tupate maendeleo zaidi.

Naamini 2020 atapita kwa kishindo kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Miss Natafuta Sijawahi kukusikia ukichangia mada za siasa wala kuanzisha uzi, dah ama kweli leo ndio nakuona sasa vip kampeni imeanza nini, lazima utakuwa umeteuliwa maana wanajua uzi zako unaweza ukasomwa na ukawashawishi wengi. muda utasema twende kazi CCM Oyeeeeeee
 
Yaani ukimfuatilia Mheshimiwa Rais akiongelewa humu mtandaoni utamchukia sana ila nimepata muda nikamfuatilia kwa umakini, kwa kweli tuna Rais anaefanya kazi.

Nadhani ni muda wa sisi kuungana naye ili tupate maendeleo zaidi.

Naamini 2020 atapita kwa kishindo kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
separation of power, check and balance..
CAG anakosa gani?
 
Yaani ukimfuatilia Mheshimiwa Rais akiongelewa humu mtandaoni utamchukia sana ila nimepata muda nikamfuatilia kwa umakini, kwa kweli tuna Rais anaefanya kazi.

Nadhani ni muda wa sisi kuungana naye ili tupate maendeleo zaidi.

Naamini 2020 atapita kwa kishindo kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba utuwekee na Indicators za huo ufanyaji kazi wake..je goals alizoset amefanikiwa kivipi? Maana porojo zimezidi
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom