Wananchi tuko nyuma yako wabunge wakikataa kulipa kodi tafadhali sana livunje bunge tuanze upya. Wsbunge wasigeuze ubunge ni sehemu ya ulaji. Wanafanya kazi miaka mitano wanalipwa zaidi ya Tsh 50,000,000/= kwa mkupuo lakini mfanyakazi wa kipato cha chini anatumikia serikali miaka 30 hapati ml 10.
Posho kibao,allowance ya vikao,matibabu bure na mambo kibao. Lipeni kodi hamtaki mjiuzulu. La sivyo Rais anza upya vunja bunge maana wengi wao hutumia hizo pesa kurudi tena bungeni lakini sasa mpira utachezwa sawa hawatakuwa na pesa za kuhonga hawatarudi tutakuwa na damu mpya